Hadi Vyura wanapuliziwa pale dimbwinimikia na kupuliza dawa ni chanda na pete
Nyie Yanga komaeni na Tasaf mmuingue kwenye list ya kaya masikini. Hii haiwahusuWale Mabwana wengine wote waliokupitia kwao wakaja hapa ukagoma kupokea Posa walikuwa wanakuchezea tuu,hawakuwa na nia ya kukuoa. Sasa huyu Bwana Mazembe uliempata kipindi hiki atanii lazima akuoe,kesho anatoa mahari na send-off then Harusi itafanyika Lubumbashi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subirini send-off yenu keshoNyie Yanga komaeni na Tasaf mmuingue kwenye list ya kaya masikini. Hii haiwahusu
Tumeshawafunga kabla ya kuingia uwanjani
Watoto wazuri wote simba cc SakayoWanaanza kulalamika mapema ili wakifungwa waje na hii sababu
Hao TP wasubiri kipigo tu
kweli kweli tena tukae karibu na vingoma vya Uruguay vya wazaramo tuamshe popo haswa. Nipo nawaangalia twiga stars wana mbwela mbwela tu hapa natumai upo uwanjani
kweli kweli tena tukae karibu na vingoma vya Uruguay vya wazaramo tuamshe popo haswa. Nipo nawaangalia twiga stars wana mbwela mbwela tu hapa natumai upo uwanjani
Ngoja tuone;Hiyo mechi inaisha draw au tunashinda
Muda huu usiku siwezi kuwa uwanjani
Kwakweli wasubiri kipigo tuWanaanza kulalamika mapema ili wakifungwa waje na hii sababu
Hao TP wasubiri kipigo tu
Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
π₯π₯π₯Wouzeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
pole ake; kumbe naye kachukua uraia wa mda wa congoSakayo yanga
Watoto wa mzee akilimali; Mnamiaka 10 ya mateso.Mikia wachawi sana...wanaloga,wanapuliza dawa lakini watapulizwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utabiri wako unaweza timia naona 2_2 hapa. Ngoja tusubiri dakika 10 zilizo bakia hiziHiyo mechi inaisha draw au tunashinda
Muda huu usiku siwezi kuwa uwanjani
Congo wanatuzidi kukata viuno tuUtabiri wako unaweza timia naona 2_2 hapa. Ngoja tusubiri dakika 10 zilizo bakia hizi