Malalamiko ya TP MAZEMBE kuelekea mechi na SIMBA SC

Malalamiko ya TP MAZEMBE kuelekea mechi na SIMBA SC

Wale Mabwana wengine wote waliokupitia kwao wakaja hapa ukagoma kupokea Posa walikuwa wanakuchezea tuu,hawakuwa na nia ya kukuoa. Sasa huyu Bwana Mazembe uliempata kipindi hiki atanii lazima akuoe,kesho anatoa mahari na send-off then Harusi itafanyika Lubumbashi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Yanga komaeni na Tasaf mmuingue kwenye list ya kaya masikini. Hii haiwahusu
 
Kesho tunawatia adabu ..wameanza kuweweseka wajiandae ..mbona wao TP Mazembe wamelalamikiwa na wale waliwafunga 8
 
Back
Top Bottom