Malalamiko ya TP MAZEMBE kuelekea mechi na SIMBA SC



Wengine wanatabiri vingine.

 
Mbona wanalialia kwani simba ndio wanajukumu la kuwapa basi,uwanja wa mazoezi na vyumba vya kubadilishia nguo vipo chini ya management ya simba!?
 
simba mkienda lubumbashi mtanyanyasika sana hiyo ni tahadhar wametoa kwa madudu mnayowafanyia timu pinzani
 
Hatutishwi na lawama zao.Tunataka kuwaharibia historia yao kama ambavyo Daudi alivyoharibu historia ya Goliath.
Hatuwezi kukaa kuwaogopa miaka yote safari hii tutawaonyesha ubabe kwa mchina na kongo nako tunaonyesha ubabe.Simba itabaki kuwa juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahahahaa... perfume ya Chibu wanasema ni madawa ya usingizi ehehee... waje na vifaa vya kubaini hizo dawa...
 
mikia na kupuliza dawa ni chanda na pete


Hofu yangu ni hatua zinazoweza kuchukuliwa na CAF dhidi ya klabu/soka ya Tanzania...CAF huwa hawana haraka kutoa maamuzi...wanaweza wakatoa maamuzi muda na wakati usiotarajia...sina hakika kama soka yetu ina uwakilishi katika vyombo hivyo vya juu...Kama Souara, Al Ahly na Vita wamelalamika basi ni vema tuwe na mkao wa kujihami
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…