Congo wanatuzidi kukata viuno tu
Hapo washukuru muda umekuwa mchache 😁😁
tp mazembe imetwaa champions league mara 5.. mikia mmetwaa mara ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Congo wanatuzidi kukata viuno tu
Hapo washukuru muda umekuwa mchache 😁😁
Katika barua pepe iliyotumwa na TP Mazembe kwa CAF, ambayo tovuti ya timu hiyo imeiweka bayana, inasema kuwa:
Uongozi wa TPM umeianisha njia kadhaa ambazo si za kimichezo ambazo Simba SC inawafanyia wapinzani wake pamoja na malalamiko kadhaa kutoka kwa timu zilizocheza Dar es Salaam katika Ligi ya Mabingwa zimefikia CAF.
Nkana, JS Saoura, Al Ahly na hivi karibuni Vita Club, wapinzani wote wa Simba SC walilalamika juu ya kupewa mabasi mabovu yenye harufu ya ajabu; Pia imeelezwa kuwa huwa kuna unyanyasaji kwa timu wakitembelewa na wafuasi wa Simba SC wakati wa mazoezi rasmi katika uwanja na siku ya mechi wakati wa kuwasili kwenye uwanja huo.
Zaidi ya malalamiko haya kwa klabu ya Tanzania, imeidhinishwa kuwa wafuasi wa Simba SC wanajaribu, siku ya mechi, kuzuia timu ya TP MAzemb kuwasili kwenye uwanja kupitia milango/mageti halali na kwamba "harufu ya ajabu" bado iko katika chumba cha kubadilishia nguo cha timu ngeni, harufu chafu siku ya mechi itakuwepo.
Pamoja na timu ya TP Mazembe kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatano usiku, TPM imeamua kutoa tahadhari kwa CAF, FECOFA na Shirikisho la Soka la Tanzania juu ya mapungufu haya. Al Ahly, Saoura na Vita Club wanajua kitu fulani: wamepewa viwanja vya kufanyia mazoezi ambavyo ni duni sana.
TPM haikuwa na chaguo bali kuomba kuingilia kati kwa CAF. Uongozi wa Club hiyo umeitaka Simba SC kutoa ushirikiano wa kiwango cha juu ili mechi ya Jumamosi ijayo iweze kuchezwa amani na kwa mujibu wa kanuni za kucheza haki.
View attachment 1063181
mikia na kupuliza dawa ni chanda na pete
Janga....Binti nimekutoa kote huko nimekuvua na chupi,leo unasita kupanda bed eti nimekunywea cha mmasai! Acha wehu