Malalamiko ya TP MAZEMBE kuelekea mechi na SIMBA SC

Mathayo Fungo

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
319
Reaction score
511
Katika barua pepe iliyotumwa na TP Mazembe kwa CAF, ambayo tovuti ya timu hiyo imeiweka bayana, inasema kuwa:

Uongozi wa TPM umeianisha njia kadhaa ambazo si za kimichezo ambazo Simba SC inawafanyia wapinzani wake pamoja na malalamiko kadhaa kutoka kwa timu zilizocheza Dar es Salaam katika Ligi ya Mabingwa zimefikia CAF.

Nkana, JS Saoura, Al Ahly na hivi karibuni Vita Club, wapinzani wote wa Simba SC walilalamika juu ya kupewa mabasi mabovu yenye harufu ya ajabu; Pia imeelezwa kuwa huwa kuna unyanyasaji kwa timu wakitembelewa na wafuasi wa Simba SC wakati wa mazoezi rasmi katika uwanja na siku ya mechi wakati wa kuwasili kwenye uwanja huo.

Zaidi ya malalamiko haya kwa klabu ya Tanzania, imeidhinishwa kuwa wafuasi wa Simba SC wanajaribu, siku ya mechi, kuzuia timu ya TP MAzemb kuwasili kwenye uwanja kupitia milango/mageti halali na kwamba "harufu ya ajabu" bado iko katika chumba cha kubadilishia nguo cha timu ngeni, harufu chafu siku ya mechi itakuwepo.

Pamoja na timu ya TP Mazembe kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatano usiku, TPM imeamua kutoa tahadhari kwa CAF, FECOFA na Shirikisho la Soka la Tanzania juu ya mapungufu haya. Al Ahly, Saoura na Vita Club wanajua kitu fulani: wamepewa viwanja vya kufanyia mazoezi ambavyo ni duni sana.

TPM haikuwa na chaguo bali kuomba kuingilia kati kwa CAF. Uongozi wa Club hiyo umeitaka Simba SC kutoa ushirikiano wa kiwango cha juu ili mechi ya Jumamosi ijayo iweze kuchezwa amani na kwa mujibu wa kanuni za kucheza haki.

mazembe.JPG
 
View attachment 1063181
Hahaha watulie hao washaogopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TP Mazembe juu ya nini inaingia wasiwasi
Apr 2019
Jana April 3 Ndege ya clup ya TP Mazembe ya DRC Congo ilitua katika uwanja wa ndege kimataifa wa Songwe uliyopo katika mkoa wa Mbeya kwa muda wa Saa moja na baadae kuondoka kuelekea Dar es salaam Baada ya kutua Mbeya picha zilianza kusambaa zikionyesha wahudumu na wachezaji wakiwa uwanjani hapo na baadhi ya watu wakikoment kama wamefata imani za kishirikina kuwa wanawakwepa simba Airport ya Dar bila kujua wametua kwasababu gani. AyoTV imemtafuta meneja wa uwanja wa Ndege wa kimataifa wa songwe sababu ya ndege hiyo kutua hapo na baadae kuondoka kuelekea Dar na amekubali kutuelea ilivyokua

Source: millard ayo
 
Umenikumbusha habari moja ya Mpuuzi jerry muro alivyowatingisha FC platinum kule zimbambwe, Yang alikuwa anakufa nane ila kwa alichokifanya hawatosahau

Alichukua chupa ya maji akamwaga uwanja mzima wazimbabwe wakadhani jamaa anaroga
 
Katika barua pepe iliyotumwa na TP Mazembe kwa CAF, ambayo tovuti ya timu hiyo imeiweka bayana, inasema kuwa:

Uongozi wa TPM umeianisha njia kadhaa ambazo si za kimichezo ambazo Simba SC inawafanyia wapinzani wake pamoja na malalamiko kadhaa kutoka kwa timu zilizocheza Dar es Salaam katika Ligi ya Mabingwa zimefikia CAF.

Nkana, JS Saoura, Al Ahly na hivi karibuni Vita Club, wapinzani wote wa Simba SC walilalamika juu ya kupewa mabasi mabovu yenye harufu ya ajabu; Pia imeelezwa kuwa huwa kuna unyanyasaji kwa timu wakitembelewa na wafuasi wa Simba SC wakati wa mazoezi rasmi katika uwanja na siku ya mechi wakati wa kuwasili kwenye uwanja huo.

Zaidi ya malalamiko haya kwa klabu ya Tanzania, imeidhinishwa kuwa wafuasi wa Simba SC wanajaribu, siku ya mechi, kuzuia timu ya TP MAzemb kuwasili kwenye uwanja kupitia milango/mageti halali na kwamba "harufu ya ajabu" bado iko katika chumba cha kubadilishia nguo cha timu ngeni, harufu chafu siku ya mechi itakuwepo.

Pamoja na timu ya TP Mazembe kuwasili Dar es salaam siku ya Jumatano usiku, TPM imeamua kutoa tahadhari kwa CAF, FECOFA na Shirikisho la Soka la Tanzania juu ya mapungufu haya. Al Ahly, Saoura na Vita Club wanajua kitu fulani: wamepewa viwanja vya kufanyia mazoezi ambavyo ni duni sana.

TPM haikuwa na chaguo bali kuomba kuingilia kati kwa CAF. Uongozi wa Club hiyo umeitaka Simba SC kutoa ushirikiano wa kiwango cha juu ili mechi ya Jumamosi ijayo iweze kuchezwa amani na kwa mujibu wa kanuni za kucheza haki.

View attachment 1063181
Kweli hawa Ndo mana wanajichubua ka wanawake. Sasa wao hayo wanayoyasema wameyatoa wapi?
Kwenye vyumba wameingia lini na kwa ridhaa ya nani?
Mechi ipi wamecheza hadi walizuiwa mashabiki wa simba kuingia kupitia kwenye mageti? Na baada ya hapo walipita wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binti nimekutoa kote huko nimekuvua na chupi,leo unasita kupanda bed eti nimekunywea cha mmasai! Acha wehu
Wale Mabwana wengine wote waliokupitia kwao wakaja hapa ukagoma kupokea Posa walikuwa wanakuchezea tuu,hawakuwa na nia ya kukuoa. Sasa huyu Bwana Mazembe uliempata kipindi hiki atanii lazima akuoe,kesho anatoa mahari na send-off then Harusi itafanyika Lubumbashi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom