Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Sijapendezwa na kelele za malalamiko ya raia kuhusu kuonewa na vyombo vya serikali.
- Takribani mwezi mmoja na nusu uliopita kumekuwa na sauti kali sana ya vilio vya raia kulalamika kuhusu TRA.
- Ni jana tu mkuu wa wilaya amewatandika watu viboko hadharani, watu wana lalamika watu wanalia.
Mambo kama hayo na mengi mengine yenye kuleta vilio na makelele yataendelea kuwa makubwa sana kwenye utawala huu kadri mda unavozidi kwenda.
Ila ningependa kuwakumbusha watu kwamba, Oktoba 28 ndio ilikuwa mwisho wa watu kulalamika na kulia kuonewa.
Haina sababu ya watu kuendelea kulia kama watu hao hao ndio wamebariki mfumo huu wa kinyonyaji uendelee kukaa madarakani.
Hivi vilio ni kutuongezea tu machungu wataka mabadiliko, nashauri tu watu wawe wapole na wavumilivu, maana kila ukipanda lazima uvune, na haya ndo mavuno yenyewe.
Tuwe wapole na watulivu, na hata tukilia iwe kimya kimya, maana tulionywa na hatukuchukua hatua