MALAMIKO YA MBOLEA MH WAZIRI YANAISHA LINI..??MBOLEA ZINAFIKA LATE WHY??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Wapendwa kuna watu nikiona wanateseka sinagar shida lakini hawa wakulima wazee wetu inauma sana sana jaman

embu angalieni itv wikisasa na nusu mikoani wakulima wanalalamika wanalaani mbolea inaletwa haitolewi kwa wahusika

na mikoaa mingine wanalaani mboleaa inachelewa iufikaaa

haitoshii wenginee wanalalamika.mbolea kupigwa dili yaani kupatikana mpaka umjue kadhaa sasa hawa watu embu ifike tuseme Imetosha jamani

tusitafutee laana za wakulima tutakosa vyakula na mvuaaaa

Mungu ibariki
 tz
 
Rafiki yangu unakuwaga na mada na pointi nzuri ila mwandiko wako huwa unanitoa nje ya ulingo wako

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom