Ze Rock
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 270
- 565
Wasaaalam wana jf
Kuna siku n asubuhi na mapema niliamka nikaenda kuchukua malanda, haya ni yale mauchafu mafundi selemala wanayapata wanapofanya shughuli zao za kulanda mbao.
Siku hiyo nilikuwa apeche alolo sikuwa na mia mfukoni ila ndiyo siku zilitengenezwa pombe kibwena pale bush. Sasa baada ya kuchukua mzigo niliouweka kwenye salfeti nikawa naelekea home nikapita chocho moja hivi mama muuza akaniona kwa kuwa anajua kuna ndugu zangu ukanda wa bahari ya hindi na vile ameniona na furushi akajua nilikuwa nimetoka safari na ule mzigo ulikuwa na zaga zaga kutoka huko kwenye mji wenye bahari coz illikuwa kawaida yangu nikirudi full ma fish yaani. Mama muuza aliponiona na ki sulfeti akasema yes ndiyo muda wa kula minofu ya fish huyu kijana kwenye mafish yuko vzr sana basi bhana kijana nikiwa nimekaukiwa koo nikapita ubavani mwa nyumba ya yule mama muuza pombe akaniambia jamani munasafiri kimya kimya ? Mimi nikashtuka na kujiuliza kusafiri kwenda wapi? Basi nikasogea pale home kwake akaniambia kuna pombe ya kimea iko vzr sana ila nisiwe na wasiwasi coz anajua ni vipi anajilipa mimi kimoyo moyo nikajisemea yaaaaap! King tayari japo siyo king bae🤣🤣🤣
Nikatulia kijana kwanza nikakaribishwa kwa ugali kwanza na mixer kupewa pole ya safari mimi moyoni wewe twende tu. Nikapiga ugali pale huku nikiulizwa juu ya safari mimi mbona safari mukidi mukidee tu nanata na beat 🤣🤣🤣🤣
Baada ya msosi zilianza kushuka majagi ya pombe na mimi moyo kwatuuuuu lete mama tutafahamiana mbele kwa mbele. Nikagonga mundende pale akili ikanijia ngoja nimtume mtu anipelekee home mzigo wangu wa malanda. Wao wakijua samaki, mzigo ukafika home mimi huku nakamua mundende. Kamua kamua na wewe nikawaka nikasema japo sina mtonyoo ila hapa sasa inatosha mimi nikaaga kwa moyo mkunjufu yule mama akasema nitamuagiza mtoto unichagulie samaki wakubwa wakubwa mimi nimewaka tena, nikasema usijali nitakupa roho inapenda. Mimi mdogo mdogo home. Nikafikia kulalal hapo weenge tu la tungi.
Mida ya saa moja usiku nasikia hodiiii.. mimi eheee kumekucha!
Unasemaje kijana? Mama amenituma na uzuri walimkuta bibi angu. Umetumwa na nani? Ohooo mama kasema nije kuchukua samaki ! Bibi akaujua tu tayari manake alikuwa ananijua mjukuu wake kwa makeke ya hapa na pale akauliza samaki kutoka wapi? Vijana kutoka mji wenye bahari leo ze rock kapita home akitokea safari. Bibi hakuwakawiza jamani njooni muone mzigo si huu hapa? Ni malanda huyu mtu mbona hajasafiri wala kuagiza mzigo wa samaki. Wakaelewa wakasepa. Kesho yake nikapata issue nyinginee ya hela nikaenda kumpoza yule e mother akasema wewe kijana hatari sana khaaa! Maisha yakasonga no with no big problem 🤣🤣🤣🤣🤣
Samaki samaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Life is too short acha tufurahi
Yalimalizika vzr tu hatukuwakiana wala nini 🤣🤣🤣