Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
Habari zenu wakuu,
Mimi huwa ninatatizo la malaria kujirudia rudia kila baada ya miezi miwili au mitatu natumia dawa lakini baada ya miezi mitatu inarudi tena alafu huwa inaambatana na kikohozi kikali sana.
Nikajaribu kukifanyia uchunguzi hiki kikohozi nimepiga mpaka x ray na vipimo vingivingi naambiwa sina ugonjwa wowote.
Nimepima vipimo vingivingi lakini ndio hivyo hasa sijajua kama hiki kikohozi ni effect ya malaria inayojirudia rudia.
Wadau nisaidieni ili niondokane na hii malaria maana inaniathiri sana hata katika shughuli zangu.