Malaria kujirudiarudia nini sababu?

Malaria kujirudiarudia nini sababu?

Umewahi kunywa Oroda? Unakunywa dozi mbili. Ukinywa kwa mfano leo tarehe 14/12/17 unairudia tena same date January 18. Kuna mtu imemsaidia amepumzika miezi 6 bila kuumwa baada ya kuwa anaumwa miaka 4 bila kupona.
Hapana sijawahi huwa natumia Malafin tu nikibadili sana natumia ya kenya yaan hapa inabidi nije kurud tena hospital nipime tena HIV huenda nilpo pimaga HIV vipimo havikuwa fresh maana huwa naugua sana tangu namiaka saba mpaka leo kila baada ya miez miwili au mitatu. Mpaka doctor mmoja alishawahi niulza kwenu huwa kuna sickle cell nkamwambia hamna.
 
You're just prone to malaria. Ila jaribu hiyo Oroda. Ni bei rahisi. Ila usinunue kwenye viduka vidogo vya madawa.
 
Unatumia kipimo kipi cha malaria? Hakikisha unatumia kile cha kuangalia kwa microscope, vile vipimo vya kubadilika rangi havifanyi kazi sawa.
Unatumia dawa gani na unatumia hadi dozi inaisha? Malaria mara nyingi haiondoki mwilini ila inajificha hasa kwenye liver ila kila miezi mitatu nadhani kuna ishu nyingine, labda unatumia dawa sio nzuri au haumalizi dozi.
Malafin huwa nikinywa imetoka
 
Hapana sijawahi huwa natumia Malafin tu nikibadili sana natumia ya kenya yaan hapa inabidi nije kurud tena hospital nipime tena HIV huenda nilpo pimaga HIV vipimo havikuwa fresh maana huwa naugua sana tangu namiaka saba mpaka leo kila baada ya miez miwili au mitatu. Mpaka doctor mmoja alishawahi niulza kwenu huwa kuna sickle cell nkamwambia hamna.

Nadhani unatumia dawa mbovu, hiyo Malafin umeandikiwa na daktari? Malaria imekuwa resistant kwa hizo dawa muda mrefu sana unatakiwa utumie dawa ambazo ni combination ya artimisinin na dawa nyingine artemisinin-based combination therapy (ACT)
 
Kuna watu wameni insipire humu nikapime leo imebidi nikapime lakini nimekuta sina HIV.
 
Back
Top Bottom