Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,501
- 4,226
- Thread starter
- #61
Hapana sijawahi huwa natumia Malafin tu nikibadili sana natumia ya kenya yaan hapa inabidi nije kurud tena hospital nipime tena HIV huenda nilpo pimaga HIV vipimo havikuwa fresh maana huwa naugua sana tangu namiaka saba mpaka leo kila baada ya miez miwili au mitatu. Mpaka doctor mmoja alishawahi niulza kwenu huwa kuna sickle cell nkamwambia hamna.Umewahi kunywa Oroda? Unakunywa dozi mbili. Ukinywa kwa mfano leo tarehe 14/12/17 unairudia tena same date January 18. Kuna mtu imemsaidia amepumzika miezi 6 bila kuumwa baada ya kuwa anaumwa miaka 4 bila kupona.