Tayari nimeshacheki npo fresh
Sio peke yako ndugu, binafsi nasumbuliwa na malaria mara kwa mara yaani kila mwezi ilikuwa ni lazima niingie hospitali, lakini kipindi hiki afadhali, maana mara ya mwisho nilisumbuliwa mwezi mwezi wa nane, dawa nilotumia siijui lakini nilitembeza mkuyenye sana hadi nikawa najihisi kama nimeishiwa nguvu za mwili. Mimi ni group O+ve.Kiukwel hili tatzo lakuugua mara kwa mara ninalo tangu nipo namiaka 7 mpaka sasa ninamiaka 24 linanisumbua tu nikienda kupima naambiwa ni malaria natumia malafin baada ya miez mitatu hivyohivyo tu HIV nimeshapima kabisaaa.
Kweli ndugu mi mwenyewe group langu ni O ±ve lakin ndo ivyo tangu namiaka saba mpaka sasa sijui kwanini kunakipindi nilikuwa napiga mazoezi likaisha kabisaaaa yaan unaweza ambiwa unaukimwi hat maana jamii haichelewi.Sio peke yako ndugu, binafsi nasumbuliwa na malaria mara kwa mara yaani kila mwezi ilikuwa ni lazima niingie hospitali, lakini kipindi hiki afadhali, maana mara ya mwisho nilisumbuliwa mwezi mwezi wa nane, dawa nilotumia siijui lakini nilitembeza mkuyenye sana hadi nikawa najihisi kama nimeishiwa nguvu za mwili. Mimi ni group O+ve.
Ushauri wangu kwako, fanya sana mazoezi ya mwili/viungo, walau kila siku usikose kutoka jasho, then kama hupendi kulala na neti basi hakikisha chumbani kwako unapulizia dawa ya kuua mbu, vile vile usisahau kuvaa t shirt ya mikono mirefu kuanzia jioni na soksi pia kama unapenda kukaa maeneo ya nje ya nyumba muda wa jioni.
Kama group la damu 0+ ni kawaida hakuna cha HIV hapo.Kiukwel hili tatzo lakuugua mara kwa mara ninalo tangu nipo namiaka 7 mpaka sasa ninamiaka 24 linanisumbua tu nikienda kupima naambiwa ni malaria natumia malafin baada ya miez mitatu hivyohivyo tu HIV nimeshapima kabisaaa.
Kapimwe UKIMWI vizuri.Habari zenu wakuu,
Mimi huwa ninatatizo la malaria kujirudia rudia kila baada ya miezi miwili au mitatu natumia dawa lakini baada ya miezi mitatu inarudi tena alafu huwa inaambatana na kikohozi kikali sana.
Nikajaribu kukifanyia uchunguzi hiki kikohozi nimepiga mpaka x ray na vipimo vingivingi naambiwa sina ugonjwa wowote.
Nimepima vipimo vingivingi lakini ndio hivyo hasa sijajua kama hiki kikohozi ni effect ya malaria inayojirudia rudia.
Wadau nisaidieni ili niondokane na hii malaria maana inaniathiri sana hata katika shughuli zangu.
Mmmmh msisingizie O+ mbona wengine hatuugui si malaria wala kikohoziKama group la damu 0+ ni kawaida hakuna cha HIV hapo.
Pole sana mkuu,Kweli ndugu mi mwenyewe group langu ni O ±ve lakin ndo ivyo tangu namiaka saba mpaka sasa sijui kwanini kunakipindi nilikuwa napiga mazoezi likaisha kabisaaaa yaan unaweza ambiwa unaukimwi hat maana jamii haichelewi.
Kuna kipindi hiyo ilikuwa mwezi wa 8 unaambiwa niliumwa hadi nikapima vipimo vyotekuanzia hiv, widal, malaria, fbp lakini mwisho wa siku nikaambiwa sina tatizo wajati najiskia naumwa mbaya, kwa akili yangu nilijua HIV [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] yaani niliposomewa vipimo nilifikiri utani, hadi nikamuuliza daktari " utani au kweli?"Kweli ndugu mi mwenyewe group langu ni O ±ve lakin ndo ivyo tangu namiaka saba mpaka sasa sijui kwanini kunakipindi nilikuwa napiga mazoezi likaisha kabisaaaa yaan unaweza ambiwa unaukimwi hat maana jamii haichelewi.
Ushauri wangu.Kama una uwezo wa kupata mzambarau chukua Yale magamb yake Au magombe make sure yasiwe yamekomaa Sana chukua.then safisha kw maji kuondoa uchafu wa juu juu kana then yachemshe Vizur.acha maj ya poa then Wek katka glass Kama nusu Lita unywe atlst kwa week moja.malaria utaiskia katika redio.navyokwambia nalala bila net takriban miaka nane sasa .na malaria ccjui.Habari zenu wakuu,
Mimi huwa ninatatizo la malaria kujirudia rudia kila baada ya miezi miwili au mitatu natumia dawa lakini baada ya miezi mitatu inarudi tena alafu huwa inaambatana na kikohozi kikali sana.
Nikajaribu kukifanyia uchunguzi hiki kikohozi nimepiga mpaka x ray na vipimo vingivingi naambiwa sina ugonjwa wowote.
Nimepima vipimo vingivingi lakini ndio hivyo hasa sijajua kama hiki kikohozi ni effect ya malaria inayojirudia rudia.
Wadau nisaidieni ili niondokane na hii malaria maana inaniathiri sana hata katika shughuli zangu.