Jaribu kutengeneza chai ya rangi bila sukari then kamulia limao zima kisha kuywa halafu utupe matoke
Ha!Ha!Ha!ha! au tatizo lako liliisha /pungua nini? vinginevyo usipoziba ufa........!
Kama unakunywa doze na kumaliza kuna haja ya kucheki izo dawa zisije zikawa zimexpire bure as juzi tuu mtu kapewa dawa experied kaumuka mwili mzima.
Nami ilishanitokea kutopona malalia nikaenda pima typhoid ikaonekana ninayo so nikaanza dose ya typhoid kwanza bse nasikia otherwise huponi.
Za kienyeji kuna mtu alinambia SHUBILI ni dawa nzuri waweza jaribu
Afadhali wewe ndugu umepona kwa ALU. mimi nimeshatumia mara tatu. imedunda kabisa. mara ya pili kutumia nilikaa mwaka bila kutumia dawa ya malaria ila ilinipata tena na nilipotumia ALU ikawa bila bila. Kuna dawa inaitwa MUSHANA inapatikana hapo ubungo plaza nataka nianze kuitumia hiyo
Yawezekana licha ya kutumia ALu, lakini huchukui tahadhali dhidi ya malaria. Tumia chandalua chenye matundu madogo sana kisha kifue kwa kutumia Ngao. Hili lifanyike kila ufuapo, weka ngao. Usidanganyike na maelezo kuwa kuna Ngao ya muda mrefu.
Pia hakikisha kuwa mazingira yanayozunguka makazi yako hayana miti na kama yanayo basi hakikisha kuwa unafanya Fumigation japo mara 1 kila baada ya miezi 6.
Naamini kuwa kwa kufanya hivyo hata hizo dawa unazotumia zitafanya kazi.
Mimi siyo daktari. Maoni yangu ni kwamba kama wewe ni mtu wa viwanja, hasa baa za wazi (grosari kwa Kibongo) au mienendo kama hiyo, uwezekano wako wa kupata malaria mara kwa mara ni mkubwa kwa sababu ya kuumwa na mbu katika mkusanyiko wa watu wengi. Badili tabia inaweza kusaidia.HESHIMA kwenu Wakubwa.
Naomba munisaidie kuhusu hili tatizo.Mie nimekuwa ninasumbuliwa na Malaria Kila baada ya mwezi mmoja au miwili lazima niugue Malaria Nimetumia dawa za kutibu Malaria za Aina tofauti pia Sindano lkn wapi.Napona kwa mda tu kisha naumwa tena.Nb Chandarua ninatumia chenye ngao.Pai khs HIV nimeshapima mara kibao, niko safi tu.je hii ni malaria ya kawaida au kuna tatizo?.
Na imani mtanishauri kwa Hekima na Upendo Mkubwa asanteni.
Punguza mapenzi na mbu mara kwa mara!
teh teh teh
Masanie...punguza makali ya maneno kidogo leo tupo kisala zaidi...Nenda kaonane na dr. wanaotumia dawa za matuna mmoja yupo magomeni mwingine hapo shekilango karibu na Rombo Green View...Punguza mapenzi na mbu mara kwa mara!
HESHIMA kwenu Wakubwa.