Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Nenda Natural Therapies Center ipo opposite na get ya kuingia Hindu Mandal Hospital hapa DSM.
Wanaweza kukusaidia.

Mimi nimeshatumia hiyo hakuna kitu, hata ile ya Muhimbili tiba mbadala nishatumia hakuna kitu, wiki iliyopita nilinunua Zandu sikupata nafuu yoyote. Ila nikichoma artemether huwa nakaa miezi miwili au mitatu lakini hawa wengine kama dual cotexcin, metakelfin & Co baada ya wiki malaria iko pale pale wadudu 2 huwa hawazidi hapo
 
Mimi nimeshatumia hiyo hakuna kitu, hata ile ya Muhimbili tiba mbadala nishatumia hakuna kitu, wiki iliyopita nilinunua Zandu sikupata nafuu yoyote. Ila nikichoma artemether huwa nakaa miezi miwili au mitatu lakini hawa wengine kama dual cotexcin, metakelfin & Co baada ya wiki malaria iko pale pale wadudu 2 huwa hawazidi hapo
Tunashukuru kwa taarifa yako nzuri, na tutaendelea kupambaana na malaria/maisha nadhani wewe kwa experience uliyonayo unaweza kutusaidia sana sisi wengine katika ushauri na pia tukiungana kwa pamoja tutakuwa na nguvu zaidi na network kubwa nadhani pia ni bora kuwaza kitu kama club tuweze kukuza kilio chetu hata kwa serikali na pia mashirika ya huduma za afya ndani na hasa nje ya nchi kwa msaada wa tafiti/ dawa nakadhalika..

Pili hii ni vita dhidi ya uhai wetu, je hakuna hifadhi za watu wa namna hii kuwa wakimbizi kwenda kwenye nchi zisizo na malaria ? angalaau hifadhi ya mwaka mmoja tu ili kuthibisha kuwa sala ni maambukizi ya malaria ? jamani naomba ushauri wenu / maoni n.k.
 
nimeipata kwenye duka la tiba asilia karibu na mwanza hospital mitaa ya rufiji
 
Mkuu, tumia shubiri, huwa ni nyeusi kwa rangi, ni chungu mbaya, hiyo ndiyo kiboko cha malaria sugu na haina madhara hasi, tafadhari jaribu na ulete matokeo hapa, kama kuna mtu yupo dar na hajuwi kwa kuipata aniambie nitampelekea kwao.
 
Wakuu naomba msaada wa tiba ya malaria sugu tangu ujana wangu hadi leo nakaribia 50yrs nimekuwa nauguwa na kutibu malaria kila mwezi, tangu wakati wa chroloquine, fansider, Halfan,Metakhafin, Amodiaquine, mseto,,,,dawa za asili mshana, mwarobaini, soku-masai, n.k kwa yeyote atakae niwezesha kukaa angalau kila baada ya mwaka mmoja naahidi kutoa zawadi nono shs 100,000 hadi shs 2,000,000.

Nimekuwa na mawazo kuwa immunity yangu kwa malaria ni very weak, sababu sijasumbuliwa na magonjwa mengine labda kdg tonslitis kwa mwaka x2, minyoo x3 kwa mwaka, Mafua ndio mara kwa mara kila dalili za malaria tu

Swali langu je pana namna yeyote ya kuongeza immunity(kinga) ya mwili hasa dhidi ya malaria ?
pole sana ndg yangu. mi nilikuwa kama wewe lakini nimeondokana na dhiki hiyo kwa kutumia KOMAMANGA lililopevuka, kula lote kuanzia maganda ya nje hadi mbegu zake(lililopevuka) utanipa majibu
 
[du asante maana na mimi nimesumbuka sana. ila kwa sisi wa Dar komamanga naweza kulipata wapi? Maana sokoni sijawahi kulion kabisa.
 
pole sana ndg yangu. mi nilikuwa kama wewe lakini nimeondokana na dhiki hiyo kwa kutumia KOMAMANGA lililopevuka, kula lote kuanzia maganda ya nje hadi mbegu zake(lililopevuka) utanipa majibu

kama alivyojibu sinafungu,komamanga na kitunguu saumu ndio dawa,ukiridhika na majibu niambie nikutumie akaunti yangu uniingizie hiyo 2000,000/-
 
Wakuu mm nipo ila kazi zangu ndo za kusafiri safiri sana, ndio maana sipatikani kwenye mtandao, jamaa wa komamanga nime muuliza kuhusu kupevuka ina maana ya kuiva na kubadili rangi au kukomaa kabla ya kuiva ? ? na una kula kwa utaratibu gani kila wakati moja zima au unakata vipande ? kwa siku mara ngapi ntampigaia simu au kama pana yeyote anayeweza kutuelimisha tafadhali tusaidieni.....
 
Mimi nashangaa sana kwa hili, Tangu nizaliwe sijawahi kuumwa malaria, na hata mzazi wangu anasema hajawahi kuniona naumwa malaria..... WHY? INAKUWAJE SIUMWI NA NINAKAA MAZINGIRA YA MBU?
 
Swali dogo tu je unakunywa bia. Kila mwili una reactions zake> kwangu niligundua nikinywa bia ya aina yoyote, napata malaria na niligundua baada ya kupata ajali. kipindi cha matibabu na kupona nilikaa zaidi ya miezi sikuugua. Nilipoanza tu nikaugua. Siku hizi nakunywa wine tu na ikiwa itaniletea malaria naanza hapohapo kusikia mgongo unaanza kuuma (nafkiri wine ni kali). nikikosa wine nakunywa valu au savanna lakini sio bia! kila mtu na mwili wake....
 
Wapendwa wanabidi,

Mimi nasumbuliwa na malaria sasa ni zaidi ya miaka kumi, nimetumia dawa karibia zote za hospitali wataalamu mpaka wamenichanganyia dozi lakini malaria inatoka baada ya cku mbili au wiki inarudia tena mpaka sasa ninahisi hizi dawa ninazokunywa ndio zitakazoniondoa mapema na sio malaria. Naombeni msaada wanabodi
 
Mkuu Ngafu

Pole sana kwa matatizo yako. Kwa sababu umetumia madawa ya hospitali kwa muda mrefu, ukichanganya na mfumo wa maisha tunaoishi sasa hivi, TIBA ya tatizo lako ipo kwenye VIRUTUBISHO.

Hakika, ukitumia virutubisho vifuatavyo kwa pamoja: SHAKE OFF PHYTO FIBER, SPLINA LIQUID CHLOROPHYLL, RED YEAST COFFEE NA GINSENG COFFEE tatizo lako litakwisha kwa USALAMA kabisa, bila MADHARA (SIDE EFFECTS). Suala ni UAMUZI TU.


1. SHAKE OFF Phyto Fiber

Ni kinywaji kinachotokana na virutubisho asilia (roselle, oats, inulin n.k) kilicho na nguvu ya kusafisha kabisa na kuondoa mgandamano wote wa taka ktk utumbo mpana ikiuacha ukiwa msafi na wenye afya zaidi.

Faida za Shake Off

  • Imetengenezwa kwa virutubisho asilia, haina madhala kwa mtumiaji.
  • Ni njia ya haraka, salama, uhakika na nafuu ya kuondoa mgandamano wa taka tumboni hivyo kukupa kinga ya saratani ya utumbo mpana(colon cancer) na madhala mengine kiafya.(coprostasis)
  • Inakupa matokeo chanya masaa 8 - 12 tu baada ya kutumia.
  • Inapunguza uzito uliozidi na mgandamano wa mafuta kwenye mishipa ya damu (cholesterol)
  • Inaondoa tatizo la kukosa choo (Constipation) na kusaidia ukuaji wa baktelia wazuri tumboni.

2. Splina Liquid Chlorophyll

Imetengenezwa kutokana na mmea wa "Mulberry " unaotambulika kama chanzo bora cha "Chlorophyll".

Mlo wa kila siku unatakiwa uwe na Asidi 20% and Alkali 80% ili kuuweka mwili katika afya". - Kutokana na Prof. Ragnar Berg, Mwanalishe wa Marekani.

Kijiko Kimoja cha Chakula cha Splina Liquid Chlorophyll ni sawa na Kilogram Moja ya Mbogamboga (Mboga za Majani)

Ni vyakula vipi vyenye Asidi/Alkali

Vyakula asid:
Nyama, Vyakula vya baharini, nafaka, sukari, mafuta, na Vyakula vya makopo.

Vyakula vya Alkali:
Mboga za majani (Mbogamboga), Matunda, na Vyakula vya Mizizi (Karoti, Mihogo, Viazi, n.k)

"Splina" Liquid Chlorophyll is RICH with the following nutrients:

Zinc - helps in cell division and cell growth for faster wound healing.

Selenium - Provides protection from the toxic effects of heavy metals and other substances

Vitamin E - Nourishes the skin and keeps the brain active.

Vitamin C - Promotes healthy teeth and gums. Increases alertness and possesses anti-cancer properties.

Vitamin A - Helps in the formation and maintenance of healthy teeth, skeletal and soft tissue, mucous
membrane and skin. Promotes good vision. Strengthens the heart function.

Protein - Helps in growth and development especially for children and adolescents. Maintains the cell,
muscles, tendons and ligaments.

Biotin – essential for the metabolism of proteins and carbohydrates.

Folic Acid – Acts as a co-enzyme with vitamin B12 and Vitamin C in the breakdown and synthesis of
hormones and cholesterol.

Pantothenic – Essential in the synthesis of Acid hormones and cholesterol

Calcium – important for growth and reproduction of human body, maintains also healthy teeth and
bones.

Chromium – Stimulates fatty acid and cholesterol synthesis and an activator of of several enzymes.

Phosphorous – Assists in the contraction of muscles in functioning of kidneys, maintaining of regularity
of heartbeat

Potassium – It is necessary for muscle building and normal body growth.

Magnesium – Helps in Muscle relaxation and contraction

Iron – Essential to the formation of haemoglobin which carries the oxygen in the blood and muscles.

Faida za kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"
1. Inasaidia kuhuisha seli na kuongeza kinga.
2. Inaondoa harufu mbaya mwilini na sores.
3. Inaondoa tatizo la mmeng'enyo wa chakula.
4. Inasafisha Ini kwa kuondoa sumu kwenye Ini
5. Inaondoa kwa haraka sumu zilizo ingia mwilini
kupitia dawa za kuua wadudu.
6. Inaweka uwiano sahihi wa tindikali na alkali mwilini.
7. Inaongeza chembe hai nyekundu za damu
8. Inaaondoa mikunyanzi ya uzee na kupunguza kasi ya kuzeeka.
9. Inapunguza uzito kwa haraka.


Nani anatakiwa kutumia "Splina Liquid Chlorophyll"

  • Watu wenye matatizo ya moyo
  • Watu wanao toka jasho sana
  • Watu wenye matatizo ya Ini
  • Watu wenye matatizo ya upumuaji (Pumu,TB n.k)
  • Watu wenye matatizo ya mifupa na viungo
  • Watu wenye upungufu wa damu
  • Watu wenye ngozi iliyo pauka
  • Watu wenye matatizo ya uzito (uzito uliozidi au uzito pungufu)
  • Watumiaji wa pombe na sigara
  • Watu wasiopenda kula mboga za majani
  • Wanaosumbuliwa na tatizo la kukosa choo
  • Wanopata maumivu wakati wa hedhi
  • Wenye kisukari,vidonda vya tumbo na vidonda sugu.
  • Watu wanao ugua mafua mara kwa mara
  • Watu wenye matatizo ya koo (kukereketa n.k)
  • Watu wanaotoa harufu mbaya mwilini na mdomoni
  • Watu walio bize sana na wenye msongo wa mawazo
  • Watu wanaopenda kula vyakula vya harakaharaka (chips, burger, pizza n.k)

Kahawa za Ginseng & Red Yeast


Njia Salama ya Kurejesha hali ya ujana na kuondoa Mafuta mabaya kwenye damu"lehemu"(Bad Cholesterol)

Faida za kahawa ya Ginseng

  1. Inaboresha akili na kumbukumbu.
  2. Inakuweka katika hali ya kuchangamka.
  3. Inaongeza umakini na uwezo wa kuona na kusikia
  4. Inaongeza nguvu mwilini.
  5. Inaondoa mafuta mabaya (bad cholesterol).
  6. Inashusha presha ya juu.
  7. Inaongeza nguvu ya kujamiiana.

Faida za utumiaji wa kahawa ya Red Yeast

  1. Inashusha kiwango cha mafuta mabaya (bad cholesterol) na "triglycerides".

  1. Inaongeza kiwango cha mafuta mazuri (good cholesterol.)

  1. Inasaidia afya ya mfumo mzima wa damu (cardiovascular system).

  1. Inaupa lishe na virutubisho mzunguko wa damu (circulatory system).

  1. Inaboresha mmeng'enyo wa chakula.

Naamini maelezo haya yatakuwa msaada kwako na jamii yako inayokuzunguka pamoja na Wanajamvi kwa ujumla.

Kwa taarifa zaidi, piga: 0713 366 473 or 0767 277 223.

KARIBUNI. FEEL LOVE NOW!
 
Tutajie bei mkuu ili tufaidike na hizo products.
 
Nashukuru mkuu MoneyMakers,

Hizo poducts unazitumia kwa muda gani? Au ndo maisha yako yote? Na pia vipi kuhusu upatikanaji na bei yake kama alivyouliza stephot?
 
Back
Top Bottom