Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
umerudi kwa ID nyingine baada ya kujitangaza kuwa umepata ajali
wewe humfahamu malaria sugu, soma post zake uondoe stress.
Mods ondoeni huu upupu huku, pelekeni jukwaa husika. Au mmelala?
heri ya mwaka moya mkuu SV
Ushauri wa tiba unakaa jukwaa gani?
Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu mara nyingi, it works.