Malaria Sugu ni dawa ya stress

Malaria Sugu ni dawa ya stress

Saharavoice

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
4,017
Reaction score
2,580
Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu mara nyingi, it works.
 
Kakutuma umuanzishie thread huku?
Maana hata ulipoiweka inaonyesha usugu wa malaria.
 
halafu kumbe malaria sugu mwanamke? Kama faiza foxy vile na miushungi yao. Totauti zao faiza foxy katokea Lamu na malaria sugu katokea Kismayu
 
Mods ondoeni huu upupu huku, pelekeni jukwaa husika. Au mmelala?
 
Hata hii thread inaondoa stress! Nitazingatia ushauri wako Rev.
 
Siku ukijisikia una ma stress yako mengi, au umechoka sana, ingia humu kabla ya kulala, tafuta thread yoyote ya Malaria Sugu isome, hakika stress zako zote zinaisha na unalala unono. nimeshajaribu mara nyingi, it works.

To me: Malaria Sugu = Psychopath!
 
Back
Top Bottom