samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
Wana JF tangu nimejiunga nimekua nikiona contributions nyingi zinagusia neno malaria sugu. Je has it got something to do with mradi wa sugu wa malaria or? Naomba chimbuko ya neno hili na sababu zinazopelekea neno malaria sugu kutokea mara kwa mara kwenye michango ya watu.
Anayeongoza kwa pumba humu ndani.
Man with the most pumba in the year 2010.
Anayesababisha wana JF kuchangia sana kuliko mtu mwingine iwapo atatoa comment yoyote au akitoa post yoyote, kwa maneno mengine he is a funy man!!!!!!!!!!!!!!:angry::angry:Nadhani huwa unakuja mara chache sana hapa jamvini. Nenda SEARCH kwenye SEARCH USER andika Malaria Sugu utapata ni nini!
Samirnasri,
Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)
Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.
Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.
Kichefuchefu na chukizo la jamii forums.
Majina mengine anayayoyatumia ni nonda, jeykey, dar es salaam, charity boy na mengine mengi.
Ni zuzu kabisa, atakuboa tu.
huyo, malaria sugu,jeykey wa ukwel, daresalam naali kombo wote ni walinda ufisadi na udini, wanatengeneza uselss threads kutuchukiza,nilipewa warning letter from MOD,kwa sababu yao.sisomi na wala sijibu thread zao.
ni mimi mkweli na muwazi