MAlaria sugu ni nani naomba ufafanuzi???

MAlaria sugu ni nani naomba ufafanuzi???

Muanzisha thread ni MS the ... ID sijui ya ngapi tena mie kha!!
 
Kichefuchefu na chukizo la jamii forums.
Majina mengine anayayoyatumia ni nonda, jeykey, dar es salaam, charity boy na mengine mengi.
Ni zuzu kabisa, atakuboa tu.
ni mdini sijawahi kuona. kama unabisha andika chochote juu ya kulinganisha uislam na ukristo, utamwona anachangia haraka bila kusita
 
Ni mdini siajwahi kuona, kama unabisha jaribu kuandika lolote juu ya either uislamu au ukristo, utachoka naye.
 
Malaria sugu ni fisadi, jinga linalotumiwa na mafisadi kwa kulipwa chenchi kidogo. Amejua pumba sana, nadhani pia uwezo wake wa kufikiri ni mdogo kiasi asingetumika kirahisi hivi. Sijasema ni kichaha ndo maana ameweza kujiunga JF. Na anajua kuingia cafe akasoma JF Mtandaoni. Natoa hoja tusisome thread zake.
 
Samirnasri,

Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)

Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.

Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.[/QUOTE

So, leo umevaa hili koti?? Ila wewe ni zee la kuharibu na kutest hasira za watu. Una roho ngumu sana, matusi yote hayo bado waja tu!!
 
Back
Top Bottom