Samirnasri,
Malaria Sugu pia hufupishwa MS ndiye Rais wa JF
Akipita yeye, members wote wa JF hupaswa wasimame kumpigia salute.(ki aina aina)
Ni mcheshi, mpenda watu, ana watani wengi humu JF
Anaposafirishwa na Mods, watu hum-miss sana.
Inavyosemwa humuJF ni kuwa mara nyengine huwa anatokea katika mavazi ya mtu wa kawaida na mara nyengine huwa katika official suit.
Msalimie tu, atakuitikia.
Ni mmoja wa members wanaouchangamsha ukumbi.[/QUOTE
So, leo umevaa hili koti?? Ila wewe ni zee la kuharibu na kutest hasira za watu. Una roho ngumu sana, matusi yote hayo bado waja tu!!