Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #21
Kitendo cha malaria sugu kuwashitaki mods kwenye magazeti, je tukitafsiri vipi? Unoko au kusaka umaarufu?
acha kumsakama ms, we, huoni kwamba hiyo janja ilimnusuru na life ban?