malaria sugu yuko wapi?

malaria sugu yuko wapi?

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Posts
1,068
Reaction score
67
tangu oktoba 23, huyu mkuu hapatikani hapa.
ni shabiki mwenzangu wa chama tawala,
tena ni mdini sana kama mimi,
kokote atakapokuwapo,]
aendelee kumshabikia jk
lakini ampigie kura dk slaa.
aaaaaaamin!!!
 
tangu oktoba 23, huyu mkuu hapatikani hapa.
ni shabiki mwenzangu wa chama tawala,
tena ni mdini sana kama mimi,
kokote atakapokuwapo,]
aendelee kumshabikia jk
lakini ampigie kura dk slaa.
aaaaaaamin!!!

Alikuja kupiga kura JF.

Kaona JK hataweza kumfikia DR. Slaa, kasepa.
 
Kwa sababu ya hali mbaya inayomkumba JK inawezekana malaria imepanda kichwani na amelazwa mpaka baada ya 31.10.2010.Ugua pole Malaria sugu
 
Malaria Sugu akipanda kichwani kuna mambo mawili, kuwa kichaa au kutangulia either is possible:bowl:
 
Maralia sugu ni mmoja wa mameneja wa kampeni wa kikwete Mkwere, na nimshauri makini wa kikwete nyuma ya Kingunge na makamba. yupo kwenye kampeni sasa hivi
 
Kabadili jina baada ya kujistukia anamawazo mgando, ivo credibility yake inazidi kushuka.
 
Kabadili jina baada ya kujistukia anamawazo mgando, ivo credibility yake inazidi kushuka.


eti ndiye nani?

  • jeykey?
  • jeykeywaukweli?
  • msanii?
  • zyansiku?
  • tandale one?
  • ongezea...!!!
 
Wind Up Merchant (WUM) namba moja hapa jamvini. Mabandiko yake yananichekeshaga maana unayaona toka mwanzo kuwa ni ya uchochezi tena basi ule wa kitoto lakini bado kuna wanajamvi wengi tu wanaohangaika na kuvunja mshipa kumjibu. Yule atakuwa alikuwa ni mtoto wa chuo katika hizi likizo zao ndefu akaona ni bora achemshe watu.
 
mALARIA sUGU ALIZAA ZAIDI YA VITOTO ISHIRINI HUMU KWAHIYO NDIO VINAFANYA KAZI... YEYE YUKO BIZE ANACHAKACHUA BALLOT PAPERS:doh:

AKIMALIZA ATAKUA ANAFUA TISHETI ZA MAANDALIZI YA KUAPISHA RAIS

BAADA YA HAPO ATARUDI KWENYE GAZETI LAKE

HABARI ZAIDI MUULIZE MASAKA NA MASA**
 
alikuwa kijjini anahamasisha watu kumpigia kura jk, na kumtosa dk slaa originally posted by Malaria Sugu

Ulikuwa unawadanganya wanakijiji tu !!CCM haina jipya kabisa kwa watanzania zaidi ya kufanya ufisadi tu!!!
 
Yupo jamani ,si unaona alichoenda kukifanya vijijini ni ujinga mtupu!alikwenda kupromoti mafisadi!!
 
tangu oktoba 23, huyu mkuu hapatikani hapa.
ni shabiki mwenzangu wa chama tawala,
tena ni mdini sana kama mimi,
kokote atakapokuwapo,]
aendelee kumshabikia jk
lakini ampigie kura dk slaa.
aaaaaaamin!!!

Yupo mtaani anasubiri kivuno kwa kumnadi Jk ndani ya JF bila zengwe......asubiri kupandishwa cheo.....................
 
Back
Top Bottom