Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Mbona kama kapoteza muda maana anatakiwa ajibu hoja za Gwajima badala kuimba mipasho
 
Hivi mama Hana washauli? Hana ndugu?Hana mume asimame kuwa hapa mke wangu unazingua?
 
tatizo la huyu anataka kumjibu kila anayempinga,sasa wakitokea wanaompignga 1000 atawajibu wote?,mbaya zaidi hajibu hoja...akiongeza muda mwingine huyu tutayumba
 
Yule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Upo sahihi na kumbe unamjua kama ni kutoka kule?
 
Wezi wa kura ndiyo watumishi wa Mungu?
Ni Mungu yupi huyo anayesupport wizi?
 
Huyu kiongozi nashangaa wa KKKT walimrudisha tena. Askofu chawa
 
Musimlaumu Malasusa,Kazi yake ndio hiyo!!Amewekwa hapo kwaajili ya mambo kama haya.Tukio limeratibiwa kumsafisha kizimkazi lakini vile Mungu hayupo upande wake ndio amezidi kujinyea.
 
Ulitaka achaguliwe babaako au hawara ya mamaako kuwa Kiongozi wa Walutheri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…