Officialnasi
Senior Member
- Jun 24, 2024
- 108
- 109
Haa wabongo bwana hyo this na these utarekebisha mwenyewe in fact umeelewa dhumuni langu sema una akili ndogo sana badala ya kunirekebisha unanisema wewe hiyo lugha ulizaliwa nayo"In these world"???? ....kwanini unajidhalilisha kwa kuandika kwa lugha usiyoijua?
Kumbe anapigwa kisa dini na imani yake.TOO LOWYule ni TISS tena kaitengeneza makusudi hii event ya leo kumsafisha yule mama maana upepo wa wakristo kumpinga umeshika kasi...hakuna kitu yule mama kapoteza ndani ya muda mfupi kama wananchi kwa idadi kubwa kumkataa
Amelitaja kanisa gani?Tunaomba Baraza la maaskofu KKKT mkae na muondoeni kwenye ukuu huyu Malasusa. Hawezi kutuharibia KKKT yetu namna hii. Yaani madhabahu inatumika kuita watumishi wa kanisa lingine kwamba ni watumishi wa shetani! Hii hapana!
Kama umekosea jishushe. Wewe ni mlemavu wa lugha ya kiingereza.Haa wabongo bwana hyo this na these utarekebisha mwenyewe in fact umeelewa dhumuni langu sema una akili ndogo sana badala ya kunirekebisha unanisema wewe hiyo lugha ulizaliwa nayo
😂😂🤣Picha yake tafadhali.
Vinahusiana nini na mada hii?Una degree au stashahada?
Usiwe na kumbukumbu fupi kama urefu wa ua yako.Vinahusiana nini na mada hii?
Sawa mwalimu wa kaizirageKama umekosea jishushe. Wewe ni mlemavu wa lugha ya kiingereza.
Ccm walimsaidia wizi wa kuraALIIBA KURA ZA BAGONZA, JIZI
Kumkaribisha Mh Rais sio kosa ni upendo kwa mwana mpotevu yeyote Biblia luka 15, udhaifu na woga wa mtumishi Malasusa kufanya kazi ya Mungu kwa nafasi yake alitakiwa apige counter attack pale pale kukemea wazi wazi kama kweli ni mtumishi wa Mungu.Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like!
Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement!
Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa!
Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu!
LEO WAMEITWA WATUMISHI WA SHETANI