Malawi: Akamatwa akichomoa mipira ya drip za wagonjwa ili wafe auze masanduku

Malawi: Akamatwa akichomoa mipira ya drip za wagonjwa ili wafe auze masanduku

Duuh!! Huyo ni rafiki wa mtoaroho bila kupepesa. Yaani dunia hii utu umeisha kabisa.😳🤔
 
Kwani huyo ana tofauti gani na mwanasiasa anayenunua gari la 600M ama anasaini mktaba wa software ya India inayofuatilia umeme kukatika badala ya kujenga dispensary ama kuongeza vifaa Bora ili mama wajawazito wapate huduma nzuri na wagonjwa wengine na sio lazima kukimbizwa na ambulance mpaka mkoa wa mbali wanakufa.

Ama walimu wazuri mazingira mazuri kwao pia na vitabu vya kutosha kwa watoto baadaye watt wanafeli tunapata vibaka na Malaya, watt wetu wanafariki kwa magonjwa ya zinaa na wengine wanauwa kwa wizi ama kula dawa Mana hawakupata elimu nzuri na sahihi. Ama nyie mnacheki mauaji indirect
Fungua uzi unaolandana na hayo, tutacomment pia. Watu wanajadili yaliyoko mezani mkuu.
Hakuna wanaowafurahia au kuwapendelea hao unaowasema pia.
 
Back
Top Bottom