Ngoja tuone huko MalawiHiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
Hiyo ndiyo habari toka Malawi! "CCM" ya malawi maji ya shingo wanalalamika kuwa wanafanyiwa fujo na wafuasi wa MCP. Hii ni baada ya kura kuonyeha kuwa MCP-chama cha upinzani kinaongoza ingawa bado kura zinaendelea kuhesabiwa. Majeshi yao, polisi wao, fedha zote zao, bado wanalalamika!
Kwa huu upinzani wa kiongozi mlevi.?CCM ijiandae hapo October,mwenzako akinyolewa tia maji.