ok.🐒Siku moja kabla ya kifo cha billionea mtata Wicknell Chivayo iliripotiwa kumatwa kwa shehena kubwa ya silaha haramu zikiwa zinasafirishwa kutoka Zimbabwe kuelekea Sudan kusini kupitia nchi ya Malawi hali iliyopelekea mkuu wa majeshi wa nchi hiyo kukamatwa kwa uchunguzi zaidi.
Hali inaelekea kuwa mbaya zaidi kwa mkuu huyo wa majeshi kwani baada ya kifo cha Wicknell Chivayo ushahidi zaidi umezidi kutolewa kuhusu biashara haramu alizokuwa akifanya na viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Siku moja kabla ya kifo cha billionea mtata Wicknell Chivayo iliripotiwa kumatwa kwa shehena kubwa ya silaha haramu zikiwa zinasafirishwa kutoka Zimbabwe kuelekea Sudan kusini kupitia nchi ya Malawi hali iliyopelekea mkuu wa majeshi wa nchi hiyo kukamatwa kwa uchunguzi zaidi.
Hali inaelekea kuwa mbaya zaidi kwa mkuu huyo wa majeshi kwani baada ya kifo cha Wicknell Chivayo ushahidi zaidi umezidi kutolewa kuhusu biashara haramu alizokuwa akifanya na viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Hata hapa Tanzania inabidi watu wakamatweSiku moja kabla ya kifo cha billionea mtata Wicknell Chivayo iliripotiwa kumatwa kwa shehena kubwa ya silaha haramu zikiwa zinasafirishwa kutoka Zimbabwe kuelekea Sudan kusini kupitia nchi ya Malawi hali iliyopelekea mkuu wa majeshi wa nchi hiyo kukamatwa kwa uchunguzi zaidi.
Hali inaelekea kuwa mbaya zaidi kwa mkuu huyo wa majeshi kwani baada ya kifo cha Wicknell Chivayo ushahidi zaidi umezidi kutolewa kuhusu biashara haramu alizokuwa akifanya na viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika ikiwemo Tanzania.
Wakamatwe na Nan mkuu 😄😄 ? najiulizaga izo billion wanazoiba na kuficha hawatosheki ? Wakati hawana uhakika wa kudumu na maisha Yao wangapi waliiba na hizo pesa hata watoto na wajukuu hawakuzifaidi ni aibu kwa mwanadamu mwenye ubinadamu mbele ya MuumbaHata hapa Tanzania inabidi watu wakamatwe
Watakamatwa tuWakamatwe na Nan mkuu 😄😄 ? najiulizaga izo billion wanazoiba na kuficha hawatosheki ? Wakati hawana uhakika wa kudumu na maisha Yao wangapi waliiba na hizo pesa hata watoto na wajukuu hawakuzifaidi ni aibu kwa mwanadamu mwenye ubinadamu mbele ya Muumba
Tayari kuna mtu amejisingizia kufaHata hapa Tanzania inabidi watu wakamatwe
TutamfuatiliaTayari kuna mtu amejisingizia kufa
Inawezekana ila wakigeukana na ndo hata ya Sasa yanatokana na kugeukana wao kwao maan wao wanajua kupimana ubavu na info zote za muhimu ila huwa najiuliza inakuaje taasisi kubwa za usalama ziwe chini ya mtu au kakikundi ka watu wachache na washindwe kuwadhibit maana mpak hapa tulipo fika sio failure ya mtu mmoja tuWatakamatwa tu
Wanapandikiza watuInawezekana ila wakigeukana na ndo hata ya Sasa yanatokana na kugeukana wao kwao maan wao wanajua kupimana ubavu na info zote za muhimu ila huwa najiuliza inakuaje taasisi kubwa za usalama ziwe chini ya mtu au kakikundi ka watu wachache na washindwe kuwadhibit maana mpak hapa tulipo fika sio failure ya mtu mmoja tu
Tanzania ,Kenya,Ug ndio gate kubwa kufikia Sudan ndomana tuliona bwana kipipa kote aliweka ukaribu ila muda ni mwalimu tunaharibu nchi yetu kwa mikono yetu wenyeweSo mzigo ulikuwa au always ulikuwa Unapita Tanzania.
Akishikwa mkuu wao hawa wa chini rahis kiwafikia maan na wao wanasubir maelekezoo so idara mojawapo ikijotoa kafara takatifu basi ndani ya mwez mmoja inatosha kutembeza bakora ipasavyoo ila huenda ni ndoto sababu tamaa ya pesa ambazo hata wao wataziacha hapa DunianiWanapandikiza watu