Malawi nao wapiga stop Kenya airways

Ila kwa hili Nadhani chanzo ilikuwa Tanzania kuizuia ile ndege iliyobeba waombolezaji msiba wa Ben
Ule ulikuwa upuuzi wa hali ya juu, kweli msiba mkubwa kama ule ni wa kutuletea sisi senator? kama hawakutaka kuleta kiongozi wa kitaifa basi wangekaa kimya tu.

Kafariki Moi JPM alituma ujumbe mzito ukiongozwa na maRais wawili, wakae kwao tutakaa kwetu.
 
Kumbe hapo naelewa
Ila kwa hadhi na thamani ya mkapa kwao haokuwa haki kumtuma seneta wa kaunti
 
"Chuma hufua chuma" BS
 
Hawa wakenya wana kale kauzamani sana hawajui tumeshaamka na shule za kata zimefanya kazi. Zamani kabla hatujaanza kuingia kwenye mitandao ya kijamii walikuwa wanatupakazia mengi sana kwa wazungu hasa kuwadanganya rasilimali zetu zote zipo kwo.Kuna baadhi ya wazungu kwa uongo huo walikuwa wanajua labda bongo ni mkoa katika kenya lakini sasa wakijaribu kuthubutu cha moto wanakiona watashambuliwa lila kona.

Hawa jamaa sijui wakoje na wanarithishana hayo maujinga toka babu hadi mjukuu kujiona wapo superior na ni next o muzungu. Hawa ndio wametuaribia kiswahili kimataifa kwa kuwafundisha wazungu kiswahili cha ajabu kilichokuwa na istilahi za kikikuyu kijaluo na kikamba.Hovyo kabisa.

Sasa bado hawajui kuwa tumeingia UCHUMI WA KATI kwa fujo na tunataka tuwapite kama wamesimama sisi haooooo!!!!tunaelekea uchumi wa kwanza kwa wenzetu marekani na mataifa makubwa tuanze kuwapa misaada maana mnavyopenda misaada ndio sababu ya haya yote mnajipendekeza kutoa data za uongo za covd na kuwapakazia majirani zenu ili mpate misaada .poor kenya mtabaki peke yenu.
 
Heshima lazima iwepo, wajifanye "the most high"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…