Unauhakika na unachokisema? Mbona Kenya haijasema hivyo??Ule ulikuwa upuuzi wa hali ya juu, kweli msiba mkubwa kama ule ni wa kutuletea sisi senator? kama hawakutaka kuleta kiongozi wa kitaifa basi wangekaa kimya tu.
Kafariki Moi JPM alituma ujumbe mzito ukiongozwa na maRais wawili, washenzi wakae kwao tutakaa kwetu.