thuma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2016
- 369
- 497
Walikuwa wanaitwaje kabla ya kushinda uchaguzi wa mwaka huu?Nani alikwambia hawa ni wapinzani? Walikuwa ndiyo chama tawala na kushindwa miaka 26 iliyopita hivyo wamerudi tena madarakani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikuwa wanaitwaje kabla ya kushinda uchaguzi wa mwaka huu?Nani alikwambia hawa ni wapinzani? Walikuwa ndiyo chama tawala na kushindwa miaka 26 iliyopita hivyo wamerudi tena madarakani.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Rais mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amekosolewa kwa kuteua Baraza la Mawaziri linalojumuisha Mtu na Mke wake pamoja na watu wengine ambao ni ndugu
Sidik Mia, ambaye ni Mgombea mwenza wa Rais huyo katika Uchaguzi wa mwaka 2019 amechaguliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi huku mke wake, Abida Mia akiwa Naibu Waziri wa Ardhi
Kenny Kandodo ni Waziri mpya wa Kazi huku dada yake, Khumbize Kandodo akiwa ni Waziri mpya wa Afya. Mfanyabiashara Gospel Kazako amekuwa Waziri wa Habari huku Shemeji yake, Agnes Nkusa Nkhoma akiwa Naibu Waziri wa Kilimo
Baadhi ya Wakosoaji wameshangazwa na Baraza hilo kwani Rais Chakwera amefanya kile ambacho aliwahi kumkosoa nacho aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Peter Mutharika kuhusu upendeleo na kuteua watu kutoka mkoani kwake
Wameongeza kuwa zaidi ya asilimia 79 ya Baraza jipya la Mawaziri wanatokea Mkoa wa Kati ambapo Rais Chakwera anawafuasi wengi
Hahaha labda ungesema utawala wa sheria, utawala bora alikuwa hajaingia madarakani, sasa kaingia kafanya hayo utawala bora gani huo?!Uwe unasoma kwa kituo. Hao ndugu aliowateua yeye hawamuhusu na pia Chadema kumpongeza kwa ushindi wake hakuna kosa lolote lile na akivurunda pia atapewa za uso na si Chadema tu bali vyama vyote duniani vyenye kuheshimu na kuthamini utawala BORA.
Hahaha labda ungesema utawala wa sheria, utawala bora alikuwa hajaingia madarakani, sasa kaingia kafanya hayo utawala bora gani huo?!
Huyu wetu aliishalindwa siku nyingi, alikuwa anakazia tu, sasa kaongeza na spika na waziri mkuu.Utawala wa sheria upi? Sheria zinaweza kubadilishwa vile atakavyo dikteta. Hujasikia hapa kwetu dikteta kapeleka muswaada Bungeni kwamba kwa asipandishwe kizimbani kutokana na maovu yake akiwa madarakani na sasa ni sheria!?
Huyu wetu aliishalindwa siku nyingi, alikuwa anakazia tu, sasa kaongeza na spika na waziri mkuu.
Ndio ukaona wabunge waliofukuzwa chadema wakaendelea kuwa wabunge na viinua mgongo wakalipwa. Yote hiyo spika awalinde.
Anyway wakwetu ni Yesu.
Hahaha si umesikia Bashiru akijidai kusema eti katiba mpya ni ajenda yao?!Hastahili kukazia eti atende maovu kwa makusudi ikiwemo wizi ufisadi na mauaji kisha anawe mikono na ndiyo sababu hawa wahuni waliikimbia rasimu ya Warioba kwani uhuni na maovu wanayoyafanya wangeishia lupango.
Si Bora Trump kampa kazi mwanae uyu kawapa kazi familia yake na marafiki zake kwaiyo ni serikali ya familiaTrump akimpa kazi Ivanka binti yake kuwa mshauri wake hakuna tatizo kwa vile si mwafrika?
maana huyo binti yumo kwenye watumishi wa Ikulu ya Marekani.
Magufuli akimpa kazi ndugu Dotto inakuwa Afrika ni tatizo ...!!!
Hongera Sana ProfAmepanga safu yake. vizuri
Kwani Kavunja katiba ya Malawi?Si Bora Trump kampa kazi mwanae uyu kawapa kazi familia yake na marafiki zake kwaiyo ni serikali ya familia