figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
sasa hivi ni kipindi cha pili. mechi zote zimefungana goli moja.goli la ethiopia limefungwa kwa njia ya penati na ADEN GRIMA anaye chezea al malek. Na goli la malawi limefungwa na HENRY KABICHI dak 27.mpira mzuri sana. lakini ethiopia wanacheza vizuri zaidi. ninachowapendea malawi fowadi yao imebalikiwa kuwa na mashuti ya nguvu. hadi sasa kipindi cha pili.
MALAWI 1 - ETHIOPIA 1.
mia
MALAWI 1 - ETHIOPIA 1.
mia