MALAWI vs ETHIOPIA

MALAWI vs ETHIOPIA

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
sasa hivi ni kipindi cha pili. mechi zote zimefungana goli moja.goli la ethiopia limefungwa kwa njia ya penati na ADEN GRIMA anaye chezea al malek. Na goli la malawi limefungwa na HENRY KABICHI dak 27.mpira mzuri sana. lakini ethiopia wanacheza vizuri zaidi. ninachowapendea malawi fowadi yao imebalikiwa kuwa na mashuti ya nguvu. hadi sasa kipindi cha pili.
MALAWI 1 - ETHIOPIA 1.
mia
 
dak 24 kipindi cha pili ethiopia wanamiliki mpira, wanashambulia na beki yao ipo vizuri. malawi wanazuia baada ya hii droo sababu matokeo yakiisha hivi wana uhakika wa kusonga. wachezaji wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu. mia
 
dk 44 kipindi cha pili mchezaji wa ethiopia ADEN GRIMA kapewa kadi nyekunduu baada ya kurushiana maneno na refa.
 
mpira umekwisha. malawi wameweza kusonga mbele kwa matokeo haya.
MALAWI 1 - 1 ETHIOPIA
MIA
 
Back
Top Bottom