Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Daa Stars wanatia presha tu hapa yaani ishaanza kupanda
 
Huyu kocha timu imemshinda atimuliwe tuu ....kocha gan hashugulishi akili utafikiri shabiki jukwaani
#mkwasa out
 
Alichokifanya boko kwa upande wangu ni sahihi sababu anapoteza muda tu japo game iishe hivi tupite

...anaonekana kupoteza muda coz hapati mipira ndugu; makocha wa jf wakali sijawahi ona.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…