Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Jamanii mpira una maajabu yake...!!! Zamaulid Ta MuganyiziTamaa tushakata tangu zamani. Hakuna jipya watakaloleta hao jamaa. Kocha anaona viungo wamekatika yeye anauchuna tuu. Angalia beki yetu inavyosumbuliwa.
Last edited by a moderator: