Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Kama nchi yako iko nje ya 70 bora za FIFA ranks, mchezaji marufuku EPL, unless mchezaji aende kama teenage, ajoin ktk soccer academy za club za EPL

Victor Wanyama alianzia soccer academy ya club gani ya EPL maana hiyo marufuku sijaisikia kwake.
 
Hivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
Ndugu chako ni chako tu.Mtoto akinyea mkono utaukata au utauosha na kuendelea na maisha.Hata kama wametibua huko nyuma,tusiwatelekeze bali tuwape moyo.
 
Hivi tupo katika group au tunagombania kuingia katika group stage? Sijaelewa hizi qualifications zilivyo safari hii.. Nisaidieni.
 
Algeria tunaanza nao nyumbani au ugenini?????
 
Hivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?

This is the danger of Lowassism. Ukiua team za wakubwa ili uwekeze kwenye academy wakikua utawapeleka wapi? Mpira siyo lazima ucheze ulaya, akina kaseja wanaendesha maisha kupitia soka hili hili la kibongo. Fikiri upya!
 
Safi sana stars, Hao Argentina,German na Brazil ni magwiji woote wamefungwa.Algeria tunaweza wafunga ni kujipanga tuu.
 
Ni kweli mkuu ..... ila naombea tuanze ugenini halafu tumalizie nyumbani

Katika kupanga fixture ya mchezo wowote, katika hatua za mtoano, timu iliyokuweko juu katika rank inapewa advantage. Kwa vile Algeria wako juu yetu basi wao watapewa advantage ya kumalizia mzunguko kwao. Kwa maana hiyo, itakuwa Malawi wako juu yetu katika ranks za FIFA
 
Katika kampeni zilizofanyika wiki iliyopita ndani ya jiji LA arusha mgombea wetu wa uraisi Dr magufuli aliiombea taifa star ishinde maana wamekuwa wasindikizaji ktk mashindano mbalimbali lakini maombi hayo hayakufanikiwa kufua dafu huku taifa star ikitundikwa moja zidi ya wapinzani wao Malawi,ccm mbele Kwa mbele.
 
Katika kupanga fixture ya mchezo wowote, timu iliyokuweko juu katika rank inapewa advantage. Kwa vile Algeria wako juu yetu basi wao watapewa advantage ya kumalizia mzunguko kwao. Kwa maana hiyo, itakuwa Malawi wako juu yetu katika ranks za FIFA

Vp kuhusu Egypt tulianzia kwao unataka kuniambia Tz ipo juu ktk viwango vya FIFA than the pharaos!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…