Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Tunafuatilia mkuu hivyo hivyo tutafanyaje, tupo nao vijana wetu kwenye shida na rahaHivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunafuatilia mkuu hivyo hivyo tutafanyaje, tupo nao vijana wetu kwenye shida na rahaHivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
Kama nchi yako iko nje ya 70 bora za FIFA ranks, mchezaji marufuku EPL, unless mchezaji aende kama teenage, ajoin ktk soccer academy za club za EPL
Ndugu chako ni chako tu.Mtoto akinyea mkono utaukata au utauosha na kuendelea na maisha.Hata kama wametibua huko nyuma,tusiwatelekeze bali tuwape moyo.Hivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
Hii timu inafanya vzr kwa kuwa wachezaji wengi ni wa Yanga.
Tumeshinda?Tumeshinda lakini timu yetu inahitaji marekebisho sana
Safi sana Stars
Hii timu inafanya vzr kwa kuwa wachezaji wengi ni wa Yanga.
Algeria tunaanza nao nyumbani au ugenini?????
Hivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
Ni kweli mkuu ..... ila naombea tuanze ugenini halafu tumalizie nyumbani
Katika kupanga fixture ya mchezo wowote, timu iliyokuweko juu katika rank inapewa advantage. Kwa vile Algeria wako juu yetu basi wao watapewa advantage ya kumalizia mzunguko kwao. Kwa maana hiyo, itakuwa Malawi wako juu yetu katika ranks za FIFA