R u sure? Hata kama amedive kaguswa au hajaguswa?
jaribu tu kuangalia mana tbc asilimia 95 wamezoe mipasho. Mi king'amuz cha star time nilikipga moto.
Mpira upoje ball posseshen
Malawi washaanza ubabe. So far beki na kipa ndio wanaonekana uwanjani hao wengine hamna kitu. Samatta utafikiri hayupo