Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Ni wapi naweza pata original shirt ya Starz? ya home and away, nimependa hiZi nyuzi zetu safari hii.
 
jaribu tu kuangalia mana tbc asilimia 95 wamezoe mipasho. Mi king'amuz cha star time nilikipga moto.

Mi changu nimekiweka kwenye boksi nasubiri ukawa wachukue nchi watubadirishie hiyo tbccm
 
Game ya leo nahisi Mkwasa kaja kutafuta droo ya 0-0 ... Kwa mchezo huu hakuna ushindi
 
Ulimwengu anajiona Ronaldo ile kasi, nguvu na ari mpya waliyokuwa nayo hawa stars uwanja wa taifa sijui imeenda wapi?
 
Malawi washaanza ubabe. So far beki na kipa ndio wanaonekana uwanjani hao wengine hamna kitu. Samatta utafikiri hayupo
 
Back
Top Bottom