Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

..kuruhusu goli kabla ya half time imeshakua tatizo; kipindi cha pili tutakua under more pressure,kama wataendelea kujilinda hivihivi it's more likely mabeki wanaweza fanya makosa yatakayotugarimu, au tukipanda kushambulia tunaweza pia acha nafasi zinazoweza kutumiwa na Malawi.
They need to be calm, possess the ball, create more scoring opportunities, na hatimaye tupate goli/magoli. Inshort; game plan waliyoanza nayo ndio imetu-cost...
 
Ngassa/Msuva na Telela wanatakiwa kuingia mapema ili kupunguza kasi ya mashambulizi.
 
Toa samatta anaruka ruka tu uwanjani

Hakuna mtu wa kumpigia pass za mwisho, kiungo chote kimekufa, tumechezewa nusu uwanja kwa muda mrefu. Jamaa wenyewe ni wabovu tu wangekuwa makini wangetumaliza kwa zaidi ya bao 2 ndani ya 1st half.

Mkwasa aangalie uwezekano wa kuimarisha kiungo ili kua-absorb pressure ya hawa jamaa vinginevyo sitaona ajabu kutolewa kwenye mashindano haya.
 
Hakuna hiyo kitu uliyoandika bali hapa kuna boll pozishen

We mwenyewe umejikwaa. ball posssession= bol poseshen,position=pozishen ni kitu kingine kabisa

NiPM namba yako nikuunganishe na yule mgombea mkajifunze Kiingereza kwa Ras Simba.
 
Back
Top Bottom