Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Hapana!!!!
Jitahidi kua na nidhamu linapokuja suala la kitaifa mkuu.

Hapo nimekosa nidhamu wapi? Demu wa nyosso unamjua ? Au unafikiri nimesema hivyo kwakuwa bocco kaingia? Next tym uliza kwanza kabla ya kutoa shutuma
 
wakuu hivi hii tinayocheza ni football au antfootball!! formation gani tunacheza! mwenye awareness na Tanzania football philosophy anidadavulie please!
 
Hapo nimekosa nidhamu wapi? Demu wa nyosso unamjua ? Au unafikiri nimesema hivyo kwakuwa bocco kaingia? Next tym uliza kwanza kabla ya kutoa shutuma
Kwani hai wanaocheza Ni mademu au madume?or what the meaning of mademi?
 
..mbn mkwassa anafanya mambo yawe magumu bila sababu? kiungo ndio roho ya timu,unasubiri tufungwe la pili ndio ufanye sub?!
 
Kwani hai wanaocheza Ni mademu au madume?or what the meaning of mademi?

Ni wapi nilipotaja kuwa kaingia uwanjani kucheza. Acha kuassume. Hakuna dhambi mbaya kama kudhania. Jifunze mkuu. END OF DISCUSSION
 
malawi tv tunaweza ipata DSTV? ukiacha s9 nasikia wanaonesha. channel gan nyingne free to air naweza pata DSTV
 
Anachokifanya samatta sasahivi alitakiwa akifanye tangu first half. Timu bado sana kati kumekatika na nashangaa inamaana kocha haoni au jeuri ya kusaini mkataba.
 
Mabeki wetu wanachoshwa muda mwingi tunashambuliwa tu........washambuliaji wetu hawasumbui huko mbele. Yaani naona kama wata tu Nyoso.!!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…