Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Yondani chini. Tukipita then algeria tukiwachezea hivi tutaoga mvua ya magoli
 
Kocha wetu anaangalia mpira badala aangalie tatizo nn, anamuongiza bocco , anamuacha msuva na ngassa nje, timu imemshinda huyu.
 
Kocha wetu anaangalia mpira badala aangalie tatizo nn, anamuongiza bocco , anamuacha msuva na ngassa nje, timu imemshinda huyu.
Msuva na ngassa so wakabaji wazuri mkuu.
Hapa tunahitaji mtu WA kukaba na kushambulia.
Kwa sofa hizo Bocco kawazidi wore.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…