Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Halafu hii style ya ngasa ya kushika kiuno akiwa na mpira ina namna yake.
 
Timu ya taifa starz imekubali kichapo cha goli 1 kwa nunge.
Hata hivyo taifa starz imefuzu kwa hatua inayofuata na itacheza na algeria
 
Tumeshinda lakini timu yetu inahitaji marekebisho sana
Safi sana Stars
 
Tunashangilia hapa ila SAD NEWS kuna mwenzetu wamemrush SANITAS Hospital dakika ya 91' Mins wakati tunakoswakoswa, alianza kwa kusema ganzi upande wa kushoto wa mbavu then akapata heart attack

duh mkuu huyo alikua ni shabiki?
 
Hii timu inafanya vzr kwa kuwa wachezaji wengi ni wa Yanga.
 
daaah algeria???baac tena turdhike2 na apa,man n kichapotu"mwarab c ndo mbabe we2??
 
Mshambuliaji mzuri sio mtu wa kutengewa ajifunze kwa kina messi na ronaldo kama hupati mipira kaitafute mwenyewe nyuma. Hatutaki magoli ya kuvizia akatafute mpira

Great goal poachers of all time, Ruud Van Nisteroy, Raul Gonzalez, Pipo Inzangi nk.
Na pia hao kina Messi na Ronaldo kama hamna team work, huwa hawa-perform, kwa kiwango cha East and Central Afrika, Samatta is deadly ni kwamba leo viungo hawakumchezesha, muangalie akiwa anacheEshwa na viungo wa TP Mazembe.
 
Tunashangilia hapa ila SAD NEWS kuna mwenzetu wamemrush SANITAS Hospital dakika ya 91' Mins wakati tunakoswakoswa, alianza kwa kusema ganzi upande wa kushoto wa mbavu then akapata heart attack

Sure, hii ni habari ya kuhuzunisha sana, huyo mwnzetu ni mchezaji au shabiki?
 
Lazima tuwafunge Algeria, ni suala la kucheza kwa kujituma tu.
 
Nimefurahishwa na mechi ya stars na Malawi ilikuwa ngumu sana kwetu.Mungu ametusaidia tu ila tulikuwa tia maji tia maji. Upande wa kocha aliniudhi alipomuingiza John Boko.

Huyu napendekeza aachwe katika timu ya Taifa.Hafai kabisa.Namshauri pia kocha ajipange kwa sababu mechi dhidi ya Algeria ni ngumu kuliko Malawi hii iliyotusumbua.

Tujipange na tujiandae zaidi,safari bado ndefu zaidi.MKWASA tuondoe katika aibu endelevu hii ya kufungwafungwa hovyo na kutolewa mwanzoni mwa mashindano.
 
Hivi kuna watu bado mnafuatia soka la Tanzania?hatuwekezi kwenye soccer academy mnategemea nini sasa?
 
Back
Top Bottom