Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume walipowatembelea na kuwajulisha jinsi watakavyoshiriki uchaguzi wa rais tu, wakiwajibu maafisa hao kwanini rais tu na si kwa wabunge pia walisema inaonekana lengo ni kumnufaisha rais aliyeko madarakani kwani wao hawashirikishwi kampeni za uchaguzi ili kuwasikiliza wagombea wote ambao hawaruhusiwi kuingia kwenye magereza, kwa hoja hiyo walipaza sauti kwa pamoja kwa kusema hatutaki kushiriki.
Chanzo: Times Television Malawi kupitia Azam Tv. 381.
Je, hii imekaaje? Ni utovu wa nidhamu au?