Wafungwa wa gereza moja nchini Malawi wamewagomea maafisa wa tume ya uchaguzi baada ya kutoridhishwa sababu za wao kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu. Tukio hili limetokea wakati viongozi wa tume walipowatembelea na kuwajulisha jinsi watakavyoshiriki uchaguzi wa rais tu, wakiwajibu maafisa hao kwanini rais tu na si kwa wabunge pia walisema inainekana lengi ni kumnufaisha rais aliyeko madarakani kwani wao hawashirikishwi kampeni za uchaguzi ili kuwasikiliza wagombea wote ambao hawaruhusiwi kuingia kwenye magereza, kwa hija hiyo walipa,a sauti kwa pamoja kwa kusema hatutaki kushiriki.
Chanzo: Times Television Malawi kupitia Azam Tv. 381.
Je, hii imekaaje? Ni utovu wa nidhamu au?