Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Watanzania nyungu inasaidia.Malawi wanajitambua huku Tanzania labda mpaka yafe mapapai
Maombi ya siku tatuWatanzania nyungu inasaidia.
Watanzania nyungu inasaidia.
Maombi ya siku tatu
Under these circumstances wananchi wahamasishwe wasiache nyungu!!
Pole sana Mkuu, mimi nimeamua kujibanza hapa Chato mpaka kaupepo kabadilike man.Mimi wiki mbili zilizopita nilipata covid, nashukuru Mungu sasa nimepona.
Pole sana mkuuMimi wiki mbili zilizopita nilipata covid (siko Tanzania), nashukuru Mungu sasa nimepona.
Dah!..pole mkuuMimi wiki mbili zilizopita nilipata covid (siko Tanzania), nashukuru Mungu nilipiga nyungu sana na sasa nimepona.
Mkuu ulikuwa unapata tiba gani kwa kipindi hicho unachoumwa hadi kupona?Acha utani wewe, hii kitu ikikupata na kama afya yako siyo nzuri ni hatari sana. Yaani inakupa vichomi vya hapa na pale kwenye mapafu, uwezo wote wa kunusa unapotea.
Mwili unauma kama vile ulibeba kiroba cha kokoto, halafu kichwa kinaumwa na homa kama ya malaria vile.
Kaa kimya kama hujuwi chakuongea.Watanzania nyungu inasaidia.
Una maana gani?Kaa kimya kama hujuwi chakuongea.
Homa yangu na kichwa kuuma ilikwa kwa masaa 12 ila uchovu wa hapa na pale na kupoteza uwezo wa kunusa ulikuwa kwa wiki mbili hivi.Mkuu ulikuwa unapata tiba gani kwa kipindi hicho unachoumwa hadi kupona?