Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita
Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki dunia kutokana na COVID-19.
Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao ambao ni Waziri wa serikali za mitaa, Lingson Belekanyama na Waziri wa uchukuzi Sidik Mia wamefariki katika ndani ya saa mbili
Mwishoni mwa juma, rais wa nchi hiyo Lazarus Chakwera alitoa hotuba maalumu kwa njia ya radio kwa taifa akitoa wito wa kuheshimiwa kwa hatua zilizowekwa za kupambana na maambukizi ya COVID-19 kufuatia ongezeko kubwa katika vifo na maambukizi ya virusi hivyo. Bw Chakwera anatarajiwa kutoa hotuba nyingine kwa taifa baadae leo, kwa mujibu wa Kazako