"Malaya hao"..!

"Malaya hao"..!

Na kumbuka kuwa ufikiri wetu unaathiriwa kwa kiasi kikubwa na stereotyping. Ukiwa na mke anayezungukwa na malaya jua wazi watu watakuwa wanamwita mkeo malaya; hawana muda wa sijuhi kuchunguza ooh malaya ni rafiki zake tu yeye ni tofauti; stereotyping ina save muda wa kufanya research kama hizo; rafiki zako malaya na wewe malaya simple!

Hivi kama mke wangu ataitwa malaya, wakati hana tabia hiyo ya umalaya, kitakachoniuma ni kitu gani. Binafsi nitakasirika na labda kuchukua hatua kama anafanya jambo hilo, lakini kama hafanyi zaidi tu ya kuzungukwa na marafiki wanaoitwa malaya, mie hilo halinihusu, ili mradi tu ana amani na urafiki wao hauathiri ndoa yetu............... Katika maisha huwezi kuizuia jamiii kusema lolote juuu yetu au juu ya wenzetu, hilo haliwezekani, kwani mke anaweza kuwa na tabia njema na akawa hachangamani na watu hovyo na bado akazushiwa kuwa ni malaya, Je utafanya nini!?
 
Kama wewe ni type ya wale wasiojali then hata huu uzi haukuwa na maana kuwa hapa. Maana umeshasema kuwa rafiki zake malaya kwa maana umesha assume yeye si malaya. Then why worry wakati ni rafiki zake na si yeye???

Wale wenye tabia za udhungu wanaojua kuziba masikio na kuishi kama kisiwa it doesn't matter who says what. Na hamna haja ya kutafuta second opinion maisha ni wewe na wewe tu.

N.B human being ni social animal hata wadhungu wenyewe wana morals na ethics; kwa hiyo sidhani kama kuna mtu asiyejali maneno ya watu na akawa na amani. Wanajikaza kisabuni tu na ku pose as if they don't care but deep inside they do!

Hivi kama mke wangu ataitwa malaya, wakati hana tabia hiyo ya umalaya, kitakachoniuma ni kitu gani. Binafsi nitakasirika na labda kuchukua hatua kama anafanya jambo hilo, lakini kama hafanyi zaidi tu ya kuzungukwa na marafiki wanaoitwa malaya, mie hilo halinihusu, ili mradi tu ana amani na urafiki wao hauathiri ndoa yetu............... Katika maisha huwezi kuizuia jamiii kusema lolote juuu yetu au juu ya wenzetu, hilo haliwezekani, kwani mke anaweza kuwa na tabia njema na akawa hachangamani na watu hovyo na bado akazushiwa kuwa ni malaya, Je utafanya nini!?
 
Kwa upande wa watoto sawa wanaweza wakabadilishwa na marafiki zao, ila kwa mtu mzima sidhani kwakweli. Akiamua kubadilika basi jua hiyo ni tabia yake tu ila alikuwa hajapata washirika!!
 
Kwa upande wa watoto sawa wanaweza wakabadilishwa na marafiki zao, ila kwa mtu mzima sidhani kwakweli. Akiamua kubadilika basi jua hiyo ni tabia yake tu ila alikuwa hajapata washirika!!

Kwa watoto wengi ni kweli kwa sababu wako impressionable kwa sababu ya umri na tajiriba ndogo ya maisha.

Ila pia wapo watu wazima ambao wako impressionable. Fungua tu macho na utazame vizuri, utawaona. Akikuona wewe unafanya au unapenda kitu fulani basi naye huyo, anaanza kukuiga. Sisemi kila tukio au kitu cha kuigwa na mtu mzima ni kwa sababu ya impressionability ila watu wazima wa hivyo wapo wengi tu.
 
Ukweli unabaki pale pale; mfano ukiwa kama mzazi makini; watoto wako wawe wa kike au wa kiume hutapenda waongozane na watoto walio na tabia usizo zipenda. Kwa nini utegemee maajabu ya Mungu na kuishi kwa hope kuwa mwanao si bendera badala ya kumuepusha na vishawishi???? What if ni bendera???

rafiki zako malaya na wewe malaya simple!
Linapokuja suala la malezi, wazazi tuna jukumu la kuwalea watoto wetu kwa mujibu wa maadili mema ya jamii, hapo siwezi kupingana na yeyote. Tatizo linakuja pale wazazi wanapolea kwa HAPANA bila ya kueleza kwa nini. Ikiwa mtoto hukumweleza, kwa tabia ya utundu wa kitoto, huenda wakawafata hao unahisi wana tabia usizozitaka. Ndio maana mara nyingi, tunafikiria tumewalea vyema watoto wetu kumbe wanatoa picha njema mbele yetu, pembeni wanafanya yale uliyowakataza. Na ndio maana wazazi tunashangaa na kudai "mwanangu mimi? haiwezekani, mnamzulia, mimi sikumlea hivyo".

Lakini suala la watu wazima ni tafauti. Pengine huyo unayejaribu leo asishirikiane na malaya, alishakatazwa hivyo alipokuwa mtoto. Tukumbuke kuwa urafiki hauji tu kama mvua au jua, ni tukio lilioanzia mbali. Siku unayokuja kugundua kuwa mtoto, rafiki, mke au mume ana rafiki mbaya, wasiwasi wangu utakuwa unatwanga maji kwenye kinu - unataka kufanyakazi aliyoshindwa mzazi/mlezi.

Hilo la mwisho kwenye red, sina jipya la kusema. Nilishaeleza mwanzo kuwa upo uwezekano, lakini si lazima.
 
Kwanza sipati picha mtu anakuwa na mke ambaye marafiki wanaomtembelea tena home wanaongea yale mazungumzo "jana nilikuwa na waziri fulani tumekunywa na ameniaidi kuninunulia vitz na kunijegea" mkeo anachekelea na kugonga. Sijuhi na wewe unamsaidia kutoa pongezi au??? Afu una watoto vibinti teenagers vinafuatilia mazungumzo kwa chati. What a mother and a wife??? Afu utaendelea kujisifu eti yeye si malaya ni rafiki zake tu? You must be kidding!
 
Kwa watoto wengi ni kweli kwa sababu wako impressionable kwa sababu ya umri na tajiriba ndogo ya maisha.

Ila pia wapo watu wazima ambao wako impressionable. Fungua tu macho na utazame vizuri, utawaona. Akikuona wewe unafanya au unapenda kitu fulani basi naye huyo, anaanza kukuiga. Sisemi kila tukio au kitu cha kuigwa na mtu mzima ni kwa sababu ya impressionability ila watu wazima wa hivyo wapo wengi tu.
Kweli mkuu ulichokisema nina mifano mingi tu kwa jamaa zangu.......nahisi kwa watoto ni rahisi hata kuwarekebisha pindi wanapo adopt hizo tabia....kwa mtu mzima shughul hapo ndo ilipo
 
Si kweli, kama akili yako ni ya 'shake well before use' ndio unaweza badilishwa na hao marafiki malaya vinginevyo waweza fanya hao malaya kuwa na mwenendo mzuri wa maisha yao.
 
Si kweli, kama akili yako ni ya 'shake well before use' ndio unaweza badilishwa na hao marafiki malaya vinginevyo waweza fanya hao malaya kuwa na mwenendo mzuri wa maisha yao.

Waambie bana........................Hata Yesu alipoulizwa na Mafarisayo, kwa nini anakula na kunywa na wenye dhambi, aliwajibu kwamba, atawezaje kuwaokoa kama akiwatenga!
 
“Sitaki kabisa kukuona na wale wanawake. Utakuwaje na urafiki na Malaya wale. Sasa hivi watakuuza kirahisi kabisa. Ukitaka kuifanya ndoa yetu ianze vurugu, endelea kuwa na urafiki nao. Wanawake kibao hapa mjini wamekuwa Malaya na kuvunja ndoa zao kwa sababu ya kuwa na marafiki wasio na mpango.”

Je wewe unakubaliana na dhana hii, kuwa mwanamke aliyeolewa kuwa na urafiki na wanawake wasio waaminifu au wanaoitwa Malaya, basi naye atashawishiwa hadi awe Malaya?

Ni kweli 7bu ukitaka kujua tabia ya mtu waangalie rafiki zake
 
Kama una upako wa kushindana na nguvu za shetani hapo sitii neno; kama ni binadamu wa kawaida mwenye madhaifu; unajiingiza kwenye mitego maana badala ya kuwabadili hao marafiki utabadilishwa wewe.

Waambie bana........................Hata Yesu alipoulizwa na Mafarisayo, kwa nini anakula na kunywa na wenye dhambi, aliwajibu kwamba, atawezaje kuwaokoa kama akiwatenga!
 
Hey blubber mouth why don't you stick to your token job and stop gloating blah blah prositute, some of them did not choose to do that and they are not happy doing it, ni tabu, shida na umasikini wetu, so shut your big mouth, just because you are getting your daily bread you think your smart you start abusing people calling them prositute, how do you feel if somebody refers that to your mama or sista, wewe wacha mdomo mkubwa na uwache kuita watu malaya...........
God bless Tanzania
 
Hivi kweli mtu mzima ambaye ameolewa na anajua majukumu yake kama mke, ile kuwa na urafiki na wanawake wenye tabia hizo zinazoitwa za umalaya akubali tu kuuzwa na kuwa malaya! hivi hili linawezekana kweli?

Hivi hakuna malaya walio kwenye ndoa?
 
Hey blubber mouth why don't you stick to your token job and stop gloating blah blah prositute, some of them did not choose to do that and they are not happy doing it, ni tabu, shida na umasikini wetu, so shut your big mouth, just because you are getting your daily bread you think your smart you start abusing people calling them prositute, how do you feel if somebody refers that to your mama or sista, wewe wacha mdomo mkubwa na uwache kuita watu malaya...........God bless Tanzania

Hizi Bhangi za kujifunza ukubwani zina madhara yake................................
 
Kama una upako wa kushindana na nguvu za shetani hapo sitii neno; kama ni binadamu wa kawaida mwenye madhaifu; unajiingiza kwenye mitego maana badala ya kuwabadili hao marafiki utabadilishwa wewe.

Kuna mtu kasema hapa, kama mke akili zake ni za kushikiwa au za "shake well before use", basi abiria chunga mzigo wako...............
 
Hivi kweli mtu mzima ambaye ameolewa na anajua majukumu yake kama mke, ile kuwa na urafiki na wanawake wenye tabia hizo zinazoitwa za umalaya akubali tu kuuzwa na kuwa malaya! hivi hili linawezekana kweli?

wenyewe wameshasema, we endelea kushangaa! uchokozi tuuuuuuuuuuuu kila siku.
 
Mtambuzi hivi hujashuhudia ndoa zinavyo shake sababu ya mashoga tena huko huko uswahilini. Ngoja wife agombane na mashogaze ndo utajua kama yeye ni saint au naye keshatafutiwa mabuzi. Unaweza ukakaa nyumba ya kupanga na usifanye ushoga na hao wanaojiuza. It is very possible.

Sisi tunaoishi nyumba sa kupanga huku uswahilini basi tuna kazi, maana waweza kuta unaishi nyumba moja wauza Bar kadhaa, na wale wanajiuza wamo humo humo, na mkeo ni mama wa nyumbani. kama ujuavyo, kuna kuazimana vibao vya nazi, kuombana chumvi, na usisahau habari ya kusukana Mabutu, na kuchapa umbea............................. Kama ni hivyo, ndoa zetu zitasalimika kweli?
 
Hizi Bhangi za kujifunza ukubwani zina madhara yake................................

With all due respect it is very suprising that your tone leaves a lot to be desired...am sure you can make your point without being very abusive, and where-with-all one achieves nothing by being soooo crass..!!

Not forgeting that we can also succumb to vitriol but we try to be civil to each other without ramming our views down other peoples throats...I take it that everyone on the forum has a right to give oppinions irrespective of any circumstance, and none of us can wave the "SUPERIOR-WAND" to others simply because one has a bone to pick or that one has a chip on the shoulder for that matter....NONE IS A CHILD OF A LESSER GOD here and I take it that respecting others' views is akin to being civil without reminding us that
"RABBIES-IS-FOR-DOGS"....Tuheshimiane tafadhali mkuu...
 
Back
Top Bottom