Malcom X akipunga upepo Dar es Salaam

Nakukubali Sana Mzee wangu. Ila hapo naona picha za vitabu tu, nilidhan umeweka picha ya Malcolm X
Analyse,
Picha za Malcolm X ziko nyingi sana mtandaoni huhitaji mtu akuwekee.

Nimeweka vitabu kuonyesha Maktaba ikiwa na kitabu cha Malcolm X.
 
“The year of the ballot or the bullet “
Ipo YouTube!

Ukisikiliza hii hotuba yake utaelewa mambo mengi aliyoyaamini malcom hasa kuelekea siku za mwisho za maisha yake
 
kopi laini hii hapa kwa atakayehitaji . Pia ninacho kitabu cha Assata Shakur
 
Attachments

Sorry , who is Malcolm X , anajulikana kama Nani , ni msanii? Mwanasiasa ? Tajiri ? Etc , kabla ya kuzama gugo nimeona nikuzoom kwanza
 
“The year of the ballot or the bullet “
Ipo YouTube!

Ukisikiliza hii hotuba yake utaelewa mambo mengi aliyoyaamini malcom hasa kuelekea siku za mwisho za maisha yakeE
Eli...
Kuna video ya Malcolm X alialikwa kuzunguzumza Oxford Union enzi za akina Tariq Ali.
Ipo YouTube.

Utamjua Malcolm X ni nani.
 
Nilifurahi niliposikia kua eti Malcolm X,aligoma kupewa jina jingine,tofauti na X kisa hakufurahishwa na majina ya kitumwa.
 
Analyse,
Picha za Malcolm X ziko nyingi sana mtandaoni huhitaji mtu akuwekee.

Nimeweka vitabu kuonyesha Maktaba ikiwa na kitabu cha Malcolm X.
Mzee umetalii sana hii dunia, hivi ulishawahi kuonana na Ali Muhsini ?
 
Mzee umetalii sana hii dunia, hivi ulishawahi kuonana na Ali Muhsini ?
Proved,
Unaweza kumtambua Sheikh Ali Muhsin katika hiyo picha?

Mimi je?
Muscat nyumbani kwa wanae mwezi wa Ramadhani kama huu 1999.

Nimevisoma hivyo vitabu vya Malcolm X vilivyoandikwa na Alex Haley na Manning Marable.

Fascinating reads.
 
Proved,
Unaweza kumtambua Sheikh Ali Muhsin katika hiyo picha?

Mimi je?
Muscat nyumbani kwa wanae mwezi wa Ramadhani kama huu 1999.

View attachment 2192070
Wewe ni rahisi kukutambua ila Muhsin sitaweza labda unionyeshe.

Ina maana tangu 1964 huyu Mzee Muhsin hakuwahi kukanyaga tena ardhi ya Zanzibar mpaka anafariki ?....wanae je,hakuwahi kufika Zanzibar ?
 
Babu shukrani kwa bandiko lako...Napenda pia nyimbo za sam cooke kuna moja inaitwa "Wonderful World" ya 1960s
 
Wewe ni rahisi kukutambua ila Muhsin sitaweza labda unionyeshe.

Ina maana tangu 1964 huyu Mzee Muhsin hakuwahi kukanyaga tena ardhi ya Zanzibar mpaka anafariki ?....wanae je,hakuwahi kufika Zanzibar ?
Proved,
Kulia ni Sheikh Abdallah Muhsin, Sheikh Ali Muhsin, Mohamed Said na Farouk Abdallah.

Sheikh Ali Muhsin alifungwa kwenye jela za Tanganyika kwa miaka 10 na alipotolewa jela akapelekwa Zanzibar.

Kisha akaja Dar es Salaam kwa mipango ya kutoroka kwani ilimdhihirikia hatoweza kuondoka kisheria.

Alitoroka Mwezi wa Ramadhani kama huu akisaidiwa na wasamaria wema akavuka mpaka kuingia Kenya akipitia Horohoro njia za panya kwenda Mombasa.
 
..tunaweza kusema Sheikh Ali Muhsin ana bahati hakuuwawa.

..labda kwasababu alifungwa ktk magereza[ Dsm, Dom, Mwanza, Bukoba] ya Tanganyika.

..angeachwa Zanzibar huenda angeuawa kama wakina Hanga, Twala, Mdungu Usi, Majura, na wengine.

..naomba isieleweke kwamba hakupitia mateso, kwani kukaa kifungoni toka 1964 mpaka 1974 ni mateso makubwa.

.. Mohamed Said unaweza kunielekeza wapi naweza kununua tafsiri ya Koran iliyoandikwa na Sheikh Ali Muhsin?
 
JK,
Unakusudia Qur'an iliyotafsiriwa.

Hii inagawiwa bure kwa bahati mbaya nakala zimekwisha.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…