Malcom X: Ni kipi kirefu cha hiyo 'X'?

Louis Farakhan hakumrithi Malcom X. Wote wawili walikuwa wafuasi wa Alijah Mohamad, mwanzilishi wa Nation of Islam. Baadae Malcom X alitofautiana nao hasa baada ya kwenda Hija na kugundua Uislam original. Inasemekana tofauti hizo ndizo zilisababisha Malcom auwawe na Nation of Islam, ingawa kuna wengine wanaoamini kuwa aliuwawa na system ya Marekani kwa sababu ya mawazo yake ya kimapinduzi. Louis Farakhan alichukua uongozi wa Nation of Islam baada ya kifo cha Elijah Mohamad. Wakati huo Malcom alishauwawa siku nying.
 
Kwa vijana waliojiunga na Nation of Islam wakati huo kuacha majina (surnames) ilikuwa na lengo la kukataa majina ya wamiliki wao enzi za utumwa. Badala yake wakawa wanajiita X. Watumwa walikuwa wanajulikana kwa surnames za wamiliki wao. Kwa hiyo mpaka leo wengi wa African-Amricans wanajulikana kwa majina yale kwa vile hawajui majina yao ya asili (ya Kiafrika).
 
Mkuu baada ya Malcom kujitoa NOI Farrakhan ndo alichukua nafasi yake kama spokeman wa NOI kabla hata Elijah Mohamed kufa...Na pia Malcom alishajitoa NOI kabla hajaenda Mecca
 
Farrakhan kauli zake zinamfunga..Uwa namuona kama msanii hivi
 
Kivp mkuu.
Baadhi ya kauli za Farrakhan
1-Miezi miwili kabla ya kifo cha Malcom,Farrakhan alisema "Kifo cha malcom kishaandaliwa na hawezi kuescape"
2-Baada ya kifo cha Malcom..Farrakhan anasema hakuhusika na mauaji ila aliandaa mazingira yaliyopelekea kifo cha jamaa
3-"I love Elijah muhammad..If u attack him i will kill u..Yesterday,today and tomorrow" hiyo aliitoa siku akiongelea kujitoa kwa Malcom NOI
4-Kuna moja alisema Malcom was our traitor..Hata tukimuattack ni none of your business
 
"My father didn't know his last name, my father got his last name from my grandfather,my grandfather got his last name from his grandfather and my great grandfather got his last name from slavemaster"-Malcom X
 
Anaitwa malcom xerunga sailongai hilo la mwwisho haliku appear sana kwenye writtings
 


Big Up sana kwako bro
 
hatuwezi kuwa sawa kwa kila jambo japo kuna African Americans wengi sana wanatafuta roots zao kriss Turker.....zimbabwe, amefika huko......na wengi wao ni senegal via haiti then USA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…