Aiisee,hii hai-sound vizuri kwa watotoBreaking news, Bruce or Caitlyn Jenner hasn't had surgery yet . He still has a penis, so all men who want to spend time with him/her are allowed to use the back door.
Sorry. HIS name is Bruce Jenner. He can pretend to be a woman all he wants, but he can't change his God-given DNA.
Baba wa kambo wa wale watoto wanne. Wa kwake wawili tu wa mwisho.
Kwani dna ilipimwa kuthiitisha kuwa haon watoto wake kweli?
Unaongelea hao wawili, aagh si alikuwa hajajigundua kuwa ana u she au?
Kim k (step daughter) anavyomsifia sasa mshua ake CNN. Yaan hii familia ina kama laana ya kizazi kwa kizazi. Huyo huyo kim k kauzaga sex tape ili awe maarufu duniani! Khloe k mme wake lamar odom ana bonge moja la scandal kulihadhithia hapa ni aibu! Mama yao sasa (kris jenner) nae ana liskendo la kumkill first husband wake robert kardashian baada ya kushtukia hao watoto sio wake ( yaani kourtney, kim, khloe na roby). Sasa hivi huyo mbibi (kris) anatembea na kijukuu chake cha 25 yrs!
Yani Kim kardahian hana aibu aisee alivokua ana msifia eti aachwe afanye akitacho na akisikiacho mwenyewe. Kwenye episode ya Bruce Jenner special mwanawe Kendall Jenner alikua analia sana yeye na khloe na mama yao. Ila Kim mkavu ndo anachekelea na kwenda kumchagulia nguo za kike na viatu.
Kendall aliumia kutoka moyoni hafu khloe sio mtoto wa Robert kardashian hafu huwa wanamtenga kaka yao Rob. Hii familia ni most hated celebrity wa Hollywood sijui ni ma agent.
Kim k (step daughter) anavyomsifia sasa mshua ake CNN. Yaan hii familia ina kama laana ya kizazi kwa kizazi. Huyo huyo kim k kauzaga sex tape ili awe maarufu duniani! Khloe k mme wake lamar odom ana bonge moja la scandal kulihadhithia hapa ni aibu! Mama yao sasa (kris jenner) nae ana liskendo la kumkill first husband wake robert kardashian baada ya kushtukia hao watoto sio wake ( yaani kourtney, kim, khloe na roby). Sasa hivi huyo mbibi (kris) anatembea na kijukuu chake cha 25 yrs!
Duuuh! Umejuajeee? Yan kama uliota. Hilo likim kardashian silipendagi kama nini japo hanijui!.. Toka nione sextape yake na randy norwood ( kaka ake brandy) naskiaga kichefuchefu!!. Huyo kendall mwenyewe mshenzi tu c katoka kuvunja ndoa ya tyga juzi juzi hapa nae analipwa malipo hapa hapa! Huyo ROB bangi nyingi anatengwa coz anawapaga makavu live dada zake esp. Kim k hawapendani hao mpaka harusi yake na kanye hakuhudhuria!