Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Huyu mzee lazma nimtapanye nione ladha yake ikoje.
Yani Kim yuko radhi afanye lolote ili kupata publicity tu. Kila siku kupiga mapicha ya uchi kama ile aliyo break internet alifanya part ya kujipongeza eti. Rob huwa hapendi ujinga wao na Khloe ndo alikua anaishi naye wakati wa lamar. Sasa Kim ndo anasikilizwa akamkataza mamake na khloe kumsaidia Rob na kumtoa kwenye house yao. Ila hata mama yao ana influence vibaya aisee.
Jana alifurahi kutangaza kuhusu mimba yake na Bruce kuwa Caitylin.
Kim anachukiwa mno insta yake huwa anapewa makavu sana lakini hakomi.
At least kourtney ndo huwa hamkopeshi kuna siku alimgomea Ku appear kwenye game yake sasa akamtukana dadake eti ashukuru ka si yeye ndo alimletea hyo carrier na alipofikia.
Yani Kim kardahian hana aibu aisee alivokua ana msifia eti aachwe afanye akitacho na akisikiacho mwenyewe. Kwenye episode ya Bruce Jenner special mwanawe Kendall Jenner alikua analia sana yeye na khloe na mama yao. Ila Kim mkavu ndo anachekelea na kwenda kumchagulia nguo za kike na viatu.
Kendall aliumia kutoka moyoni hafu khloe sio mtoto wa Robert kardashian hafu huwa wanamtenga kaka yao Rob. Hii familia ni most hated celebrity wa Hollywood sijui ni ma agent.
Duuuh! Umejuajeee? Yan kama uliota. Hilo likim kardashian silipendagi kama nini japo hanijui!.. Toka nione sextape yake na randy norwood ( kaka ake brandy) naskiaga kichefuchefu!!. Huyo kendall mwenyewe mshenzi tu c katoka kuvunja ndoa ya tyga juzi juzi hapa nae analipwa malipo hapa hapa! Huyo ROB bangi nyingi anatengwa coz anawapaga makavu live dada zake esp. Kim k hawapendani hao mpaka harusi yake na kanye hakuhudhuria!
Yani Kim yuko radhi afanye lolote ili kupata publicity tu. Kila siku kupiga mapicha ya uchi kama ile aliyo break internet alifanya part ya kujipongeza eti. Rob huwa hapendi ujinga wao na Khloe ndo alikua anaishi naye wakati wa lamar. Sasa Kim ndo anasikilizwa akamkataza mamake na khloe kumsaidia Rob na kumtoa kwenye house yao. Ila hata mama yao ana influence vibaya aisee.
Jana alifurahi kutangaza kuhusu mimba yake na Bruce kuwa Caitylin.
Kim anachukiwa mno insta yake huwa anapewa makavu sana lakini hakomi.
At least kourtney ndo huwa hamkopeshi kuna siku alimgomea Ku appear kwenye game yake sasa akamtukana dadake eti ashukuru ka si yeye ndo alimletea hyo carrier na alipofikia.
Eeeh mwaya ile party yake ya kukaa uchi mpaka akapandikizwa matako ya farasi!.. Yaan kim huko USA wanamwonaga kama mwehu tu obama hataki hata kumsikia!... Mi ananiachaga hoi anavyojipendekeza kwa beyonce, mtoto wa wa2 anajiheshim yeye anamletea usodoma wake, imebaki anamkwepaga tu maana beyonce mpole sana yule!
Hahahah yaaji nyie watu mnenifurahisha
Yaani mnavyoiongelea hiyo familia aa if mnaishi nao jirani au ni wanaujamaa na nyie
Nimecheka mpaka nikasahau njaa...
Huyo bado anamshobozi na unasimama kama kawa, unamtapanya ikifika zamu yako na wewe unageuka
Sina hata undugu zaidi ya kuona kwenye reality show yao ya Keeping up with the kardashians hasa ya Bruce Jenner nilijua niutani, kumbe kweli akajibadilisha jinsia.
Haa haaa shost tumetupia mastory moko,kumbe wa2 wanatuchora tu.kwi kwi kwi na mi naitwa catalyin cjui catalunya jenner.. 65 yrs unadmire transgender? Nimeskia kalipwa mabilion kufanya hyo ki2 na wajenzi wenzie ili kuvutia other people around the world kufanya huo ubaradhuli we humuoni Obama anavyoshobokea! !
Mnaoshangaa hii mambo, jirani yenu kuna Audrey Mbugua. Google him...sorry, her.
Hawezi kule mbele kuna kishimo kinaitwa k' brother
Huyu mzee lazma nimtapanye nione ladha yake ikoje.
Bruce Jenner ambaye ni baba wa the kardashian girls,amekua akitamani kuwa na jinsia ya kike kwa siku nyingi, hatimae kafanikiwa na kuwa rasmi mwanamke tena mwenye mvuto, ambaye kajitambulisha kwa jina jipya la Caitlyn jenner(twitter na Facebook ).
Familia yake imejitokeza na kumpa pongezi aliyekua baba yao, ambaye kwa sasa sijui title yake kwa sasa.
Hivi unayo akili timamu Kweli?Eeeh mwaya ile party yake ya kukaa uchi mpaka akapandikizwa matako ya farasi!.. Yaan kim huko USA wanamwonaga kama mwehu tu obama hataki hata kumsikia!... Mi ananiachaga hoi anavyojipendekeza kwa beyonce, mtoto wa wa2 anajiheshim yeye anamletea usodoma wake, imebaki anamkwepaga tu maana beyonce mpole sana yule!